Happening now: CCM wazomewa Dar

Happening now: CCM wazomewa Dar

yNI NIKIONA MTU KAVAA NGUO YA CCM NAONA KAMA KAJINYEA AU KICHAA HIVI ASIEJUA ANATOKA WAPI NA ANAENDA WAPI

Hiyo kajinyea na kichaa mbona km unamtukana boss wako? Ooo angalia dogo ujue unasema kinyumenyume...shuuzi
 
Kwa akili yako fupi, unadhani kkoo Kongo watu huondoka saa ngapi? Hujui ktk maeneo ambayo watu hukesha ni kkoo?

Asante Sana Mkuu Kwa Kurealize Something Important.Watu Wanakesha Kkoo,halafu Kuna Mtu Anasimama Jukwaani Anasema Serikali Haijafanya Chochote,jamani Hata Hii Amani Inayofanya Watu Wanakesha,wauza Kahawa Usiku Mzima Wanakesha Nalo Hili Hawalioni??
 
Gari lililokuwa limebeba watu waliovalia nguo za njano na kijani (sio yanga) zao zikiwa na nembo ya jembe na nyundo wamekumbana na dhoruba ya zomeazomea mtaa wa kongo na uhuru dsm. Tukio lilodumu kama hadi gari lilipoondoka.

Dar ni sehemu ambayo CCM itapata kura chache zaidi.... Zikiwa nyingi ni kura laki 2 tu
 
Ngoja uchaguzi upite kuna watu wataanza kujikomba komba.....msiweke visa vya kutengeneza ipo siku hao mnaowatumia watawaacha uchi.....vitendo vya uvunjifu wa aman visipewe nafasi. Pandeni jukwaani ruksa sio mitaani. Ohoooo

Wewe nani ktk nchi hii!
 
Na mtakoma sana baada ya uchaguzi. Bahati nzuri wafuasi wa CCM ni wastaarabu sana. Wanawaangalia tu mnavyopiga mayowe

Wewe ndiye utakoma baada ya uchaguzi maana hata pa kulala huna na lowasa akiingia ikulu lazima utemeshwe kibarua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom