Hapoooo Sasa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapoooo Sasa!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Dena Amsi, Feb 4, 2011.

 1. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Duhh!! ni soo!!

  mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi
  videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za
  dinner. Siku moja mkewe akamhurumia. Anachoka na kazi. Mtu gani
  asiyependa starehe japo kidogo? Mke akamlazimisha outing, Frank
  akabisha lakini taxi ikafika. Gonga Club & Lodge.

  Walipofika mlangoni tu, mlinzi akaita, “Mambo Frank!” “Poa”
  “Nilidhani huwa huji club, inakuwaje mlinzi anakufahamu?” mke akauliza
  “Yule mgambo, mchana analinda ofisini kwetu, usiku anapiga part time
  hapa” akajibu Frank

  Wakachagua meza. Kukaa tu tayari mhudumu ameshaleta castle lager.
  Akamuuliza mama anakunywa nini. Mhudumu alipoondoka mama akauliza,
  “amejuaje unakunywa castle kama hakufahamu?”

  Wakati Frank anajikanyaga aanze vipi kujitetea, mhudumu wa vyumba
  akawa amefika na kuuliza.
  “Mkuu kama kawaida nimekuandalia namba tano, nendeni tu vinywaji
  nitawaletea huko huko”

  Kufikia hapo mama akawa hana simile tena, akanyanyuka akitukana kama
  chizi. Akatoka nje mbio na kuingia katika taxi iliyokuwepo pale.
  Wakati anapatana bei na dereva, Frank naye akaingia. Mama
  yakamporomoka matusi kibao na kilio juu. Alipovuta kamasi na kupiga
  kwikwi akamsikia dereve anasema.

  “Duh, eee bwana Frank huyu malaya uliyeokota leo balaaaaaaaaaaaaaaa!”

  Mamaa akazimiaaaazzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 2. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mboa akina Frank ndiyo walio jaa Tanzania!
   
 3. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Beautiful Available but Unlovable!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  mambo shem? kumbe uko huku, mbona hujarudi tena kuleeeeeeee!

  back to the topic, hapo "basketball court" ni Gonga lodge.

  Inaonekana frank alikuwa anajua kutumia muda na simu vizuri, vinginevyo my wife wake angestukia "inshu" mapema.

  Aise Frank anafaa kuwa role model!!!:laugh:
   
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duuuhh!! Dada Dena leo umetoa kali. Za siku lkn??
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mke wa jamaa amezikwa makaburi ya kinondoni...ijumaa iliyo pita.
   
 7. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ashhhhhhh
  yani ingekua mm ningevumilia nisizirai ili nifike nyumbani nimuonyeshe kuwa supu haitiwi nazi.
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Shida yako unataka nikusemeshe tu haya hongera siku hizi umeweka avatar nzuri umeridhika??
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Nilirudi hukuona shem??

  Hebu kasome between lines sawa halafu unipe majibu!!
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Poa Dear upo? Ndo wanaume wetu hao umeona eehehhh?? Halafu MMU mbona sikuoni siku hizi kulikoni??
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Kumbe ulikuwepo umeonaaa eeehhh!! Mie nilihudhuria mazishi
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Huwezi vumilia aisee hapo roho inauma jamani nyie acheni tu
   
 13. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dena sayitaa....

  Huyo mke naye kwa nini achague Gonga bar?
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Sayuu Aidomaa??
  Ndo alipopapenda
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  umenikuna leo na thread yako.
   
 16. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #16
  Feb 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Safari njema lumbulyangu
   
 17. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #17
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapo umenena, wanaume ndivyo tulivyo. ayi ne baaba laweese dirdoo, ate tihhoo amoriye
   
Loading...