Hapo mtaani kwako wangapi mnatumia JF?

Hapo mtaani kwako wangapi mnatumia JF?

Since nipo Chuo mpaka sahivi nipo mtaani Zaidi ya miaka mitatu sijawahi Kuona ama kusikia anyetumia JF.....

Ni wazi ukiachana na JF kuwa platform ya watu Makini but pia ni sehemu ya watu walitembea age kidogo
Mi nlijiunga nkiwa bado mdogo but now tayar age imesonga sana sema wengi wanapenda mapichapicha kama ilivyo Facebook na Instagram huku ni mwendo wa documents tu vijana hawawezan
 
Since nipo Chuo mpaka sahivi nipo mtaani Zaidi ya miaka mitatu sijawahi Kuona ama kusikia anyetumia JF.....

Ni wazi ukiachana na JF kuwa platform ya watu Makini but pia ni sehemu ya watu walitembea age kidogo
Sio kweli, siku hizi vijana wengi tunatumia sana jamiiforum , Mimi mara kadhaa hata nikiwaga darasani huwashawishi Wanafunzi wenzangu kutumia hii platform, binafsi nimeanza kutumia jamiiforum since niko form two till now niko chuo

Kwa mtaani ninamfahamu lecturer Mmoja anatumiaga jamiiforum
 
huku kwangu hakuna mmoja, lkn siwalaumi. kuna sababu kuu inayopelekea watu wengi hawatambui huu mtandao, jf.

sababu yenyewe ni hii, jamii forums haijakaa kiburudani burudani, yaani entertanmet platiform

jamii forums imekaa kielimu zaidi. msisahau kwamba watz wengi ni wavivu wa kusoma. akili zetu zimetekwa na burudani zaidi.

sisi kama taifa, na hasa wanachama wa jf, kuna jambo tunapaswa kulifanya. kwanza tuwahimize watz wenzetu juu ya kupenda vya kwetu.

pili, tuwahimize zaidi katika kutafuta maarifa, na maarifa hayapatikani isipokuwa ktk vitu hivi viwili, (a) kusoma (b) kufanya majaribio, nyinyi mliyosoma mnasemaga practise

wengi wetu tumeathiriwa na utumwa wa kifikra. akili zetu zimekuwa zimekuwa ni bongo lala, nitawapeni ushahidi

kuna mkenya mmoja alisema hivi, katika kudai haki, wakenya wamelala. wakiamka wanadai haki yao. waganda ni wagonjwa, wakipona watadai haki yao, lkn watz ni maiti. hivi maiti inaweza kudai haki?

nini maana ya hii kauli? akili za watz zimelala. wengi hatuna elimu, na hata hao wachache wenye elimu, ni kama hawana elimu. hili linasababishwa na mfumo wetu wa elimu

elimi yetu ni kama elimu tegemezi, siyo elimu wezeshi. hili linatufanya tusiwe wadadisi. tuna uwezo mdogo wa kuhoji yaani kuuliza juu ya jambo fulani, hivyo basi tunashindwa kuzishughulisha akili zetu

kama utashindwa kuzishughulisha akili zako, basi utaangukia kwenye kuziburudisha akili zako. hapo ndipo tulipo watz wengi
 
huku kwangu hakuna hata mmoja, lkn siwalaumi. kuna sababu kuu inayopelekea watu wengi hawatambui huu mtandao, jf.

Back
Top Bottom