Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,358
- 11,328
Nadhani ni mimi pekee
Sifahamu sana mimi sikusomea sana hapaMimi elimu ya huko nilisha isahau, kitambo sana,yani hilo ni jina la topic?
Kuna memba yumo humu nilikutana naye Liuli kando ya ziwa Nyasa, anaperuzi Jf kiroho safiJF Wanatumia hadi wa Songea vijijini, kutoka muhukuru huko.
😂😂😂
Jf huwezi fungua mbele ya kadamnasi, as you said ni kama nyara, ukionekana nayo wanajua wewe ni mpinga SerikaliTatizo la jamiiforums ni kama nyara, kila anayetumia mtandao huu hataki jamaa zake wajue utambulisho wake ili kila mmoja awe huru kwenye mijadala.
Ndugu zangu hawataki kutaja I'ds zao ili wawe huru.
Mkuu kipi kinachokufanya ujifiche fiche wakati wewe mwenyewe umejipambanua kama mtetezi wa chama tawala na serikali yake.Nikiwa natumia Jf huwa najificha mpaka mwenyewe nakuwa sijui kama ni JF how could I know kuhusiana na majirani na watu naopishana nao mtaani.
Wewe nakuchukulia kama kija wa sekondari ambaye bado unaishi kwa kutegemea makundi makundi ya marafiki hivyo kuulizana mambo kama haya ni jambo la kawaida kabisa.
Jaribu kuandika matured threads sio kama hizi za kitoto.
Haya matusi ya JF machadema wanatayamishia kwenye namba yangu ya simu nayajua haya majamaa kwa kutukana.Mkuu kipi kinachokufanya ujifiche fiche wakati wewe mwenyewe umejipambanua kama mtetezi wa chama tawala na serikali yake.
Nadhani wale wanaokosoa chama tawala na serikali zake wana haki kujificha hasa kutokana na hali ya mambo inavyoenda kwenye ulingo wa siasa za Tanzania kwa sasa.🙄🙄
Kwa aina ya michango yako kwenye jukwaa la siasa inafaa hata kuweka namba yako ya simu hadharani ili angalau ukumbukwe kupewa kijiko na uma ili nawe ukakae mezani utafune mema ya nchi.🤣🤣🤣🤣🤣
( mkuu huu ni utani tu 😂😂)
Wako wengi humu JF, hata mie nikiwa niko kwa Bibi Mkenda mpakani kuelekea msumbiji, naperuzi safi kabisaa.Kuna memba yumo humu nilikutana naye Liuli kando ya ziwa Nyasa, anaperuzi Jf kiroho safi
M tagMimi na mke wangu tunatumia sana!
Mimi Nina brother angu ana 50's ni mdau wa kuperuzii.Nishawahi kumshawishi lecturer wangu ajiunge na alijiunga.
Sasa hapo si muambizane tu hizo Id zenu jamani, au ndo mnaogopa kujuana msije mkaanikana madudu yenu hapa jukwaani 🤣🤣Wachache mno, kila niliyemuambia hata haijui, anasema anaisikia tu !
Good enough kuna mshikaji wangu mmoja yupo humu ila wote tunaishi kama digidigi....Hatujawahi kuambizana IDs zetu.... ila tunaambizana yanayojiri humu, au anaweza kukuambia kuna habari flan ipo jukwaa flan ebu ukipata muda ipitie n.k
Wacha weee huyo lecture, mlianzaje mpaka kushawishiana au alikua anaichapa, samahan nimeuliza tuNishawahi kumshawishi lecturer wangu ajiunge na alijiunga.
Soon nitakutia mimba utulieWacha weee huyo lecture, mlianzaje mpaka kushawishiana au alikua anaichapa, samahan nimeuliza tu
Ephen, Kuna dili nalingoja liki tiki nataka twende Dubai, najua unaeza kua ushawahi fika ila mi nilitaka twende for two days hivo tutategesha jmos na jpili zen tunageuka, Niko serious plizSoon nitakutia mimba utulie
Ubebe na mafuta ya nazi nikushughulikieEphen, Kuna dili nalingoja liki tiki nataka twende Dubai, najua unaeza kua ushawahi fika ila mi nilitaka twende for two days hivo tutategesha jmos na jpili zen tunageuka, Niko serious pliz