Hapo hata Mwenyekiti wa IPP haoni ndani

Hapo hata Mwenyekiti wa IPP haoni ndani

hiyo tofauti ya mtu wa kwanza na wa pili ni balaa......
 
Haaaa co ivo duuuh i mean hana umwezo wa kuingia kwenye iyo list anauo hela ya kubadil mboga tuuu huyo

Ukisema hana uwezo unakosea mjomba labda ukiweka timeframe kama unabisha na hili basi malizia list yako tuone kama hataingia
 
Ukisema hana uwezo unakosea mjomba labda ukiweka timeframe kama unabisha na hili basi malizia list yako tuone kama hataingia

Tunaye mfananisha nae ni huyo number moja DR.DRE ndo anaye mzidi but hao wangine kawaida ana kula nao sahani moko sawa
 
forbes.

1. Dr. Dre ($620 million)
2. Beyoncé ($115 million)
3. The eagles ($100 million)
4. Bon jovi ($82 million)
5. Bruce springsteen ($81 million)
6. Justin bieber ($80 million)
7. One direction ($75 million)
8. Paul mccarney ($71 million)
9. Calvis harris ($66 million)
10. Toby keith ($65 million)
11. Taylor swift ($64 million)
12. Jay z, diddy, bruno mars ($60 million)
15. Justin timberlake ($57 million)
16. Pink ($52 million)
17. Michael bublé ($51 million)
18. Rihanna ($48 million)
19. The rolling stones ($47 million)
20. Roger waters ($46 million)
21. Elton john ($45 million)
22. Kenny chesney ($44 million)
23. Katy perry ($40 million)
24. Jason aldean, jennifer lopez ($37 million)
26. Miley cyrus, celine dion ($36 million)
28. Muse, luke bryan ($34 million)
30. Lady gaga, drake ($33 million)

wapi diamond?
 
Forbes.

1. Dr. Dre ($620 million)
2. Beyoncé ($115 million)
3. The Eagles ($100 million)
4. Bon Jovi ($82 million)
5. Bruce Springsteen ($81 million)
6. Justin Bieber ($80 million)
7. One Direction ($75 million)
8. Paul McCarney ($71 million)
9. Calvis Harris ($66 million)
10. Toby Keith ($65 million)
11. Taylor Swift ($64 million)
12. Jay Z, Diddy, Bruno Mars ($60 million)
15. Justin Timberlake ($57 million)
16. Pink ($52 million)
17. Michael Bublé ($51 million)
18. Rihanna ($48 million)
19. The Rolling Stones ($47 million)
20. Roger Waters ($46 million)
21. Elton John ($45 million)
22. Kenny Chesney ($44 million)
23. Katy Perry ($40 million)
24. Jason Aldean, Jennifer Lopez ($37 million)
26. Miley Cyrus, Celine Dion ($36 million)
28. Muse, Luke Bryan ($34 million)
30. Lady Gaga, Drake ($33 million)

Je Diamondo wa Nji hii wamemsahau?!, wana wivu hawa!
 
Watu wana badilika kupanda na kushuka
Naona hao wote ni wana music kaa ufahamu hizo hela zinateketea kwa muda mfupi (mauzo ya DVD tu yakishuka)
hapo niwekee
  • Habinder Seti Singh wa PAP
  • Rugemalila Kashaiga wa VIP
 
Naona hao wote ni wana music kaa ufahamu hizo hela zinateketea kwa muda mfupi (mauzo ya DVD tu yakishuka)
hapo niwekee
  • Habinger Seti Singh wa PAP
  • Rugemalila Kashaiga wa VIP

Duuuh bro asa mauzo yakishuka nazo zinapungua vp izo pesa wakat tayar hizo ndo kiwango kilichopo tayar kwenye akiba zao
 
Kabla hujamsema Mengi, tuonyeshe wewe uko wapi kwenye hiyo list. Kama haupo basi huna haki ya kuweka hii kitu hapa. Mengi anaweza ameridhika na alicho nacho na pia amesaidia kutoa ajira nyingi hapa nyumbani.
Forbes.

1. Dr. Dre ($620 million)
2. Beyoncé ($115 million)
3. The Eagles ($100 million)
4. Bon Jovi ($82 million)
5. Bruce Springsteen ($81 million)
6. Justin Bieber ($80 million)
7. One Direction ($75 million)
8. Paul McCarney ($71 million)
9. Calvis Harris ($66 million)
10. Toby Keith ($65 million)
11. Taylor Swift ($64 million)
12. Jay Z, Diddy, Bruno Mars ($60 million)
15. Justin Timberlake ($57 million)
16. Pink ($52 million)
17. Michael Bublé ($51 million)
18. Rihanna ($48 million)
19. The Rolling Stones ($47 million)
20. Roger Waters ($46 million)
21. Elton John ($45 million)
22. Kenny Chesney ($44 million)
23. Katy Perry ($40 million)
24. Jason Aldean, Jennifer Lopez ($37 million)
26. Miley Cyrus, Celine Dion ($36 million)
28. Muse, Luke Bryan ($34 million)
30. Lady Gaga, Drake ($33 million)
 
Kweli wa-TZ tunatia aibu! Hivi tunashidwa kujua kuwa ile list inawahusu wana music peke yao? Mengi anaingiaje hapo?

si mume wa klynn? mengi naye ni msanii by association!
 
  • Thanks
Reactions: hit

Similar Discussions

Back
Top Bottom