Hapo hata Mwenyekiti wa IPP haoni ndani

Hapo hata Mwenyekiti wa IPP haoni ndani

mc luggy

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
454
Reaction score
102
Forbes.

1. Dr. Dre ($620 million)
2. Beyoncé ($115 million)
3. The Eagles ($100 million)
4. Bon Jovi ($82 million)
5. Bruce Springsteen ($81 million)
6. Justin Bieber ($80 million)
7. One Direction ($75 million)
8. Paul McCarney ($71 million)
9. Calvis Harris ($66 million)
10. Toby Keith ($65 million)
11. Taylor Swift ($64 million)
12. Jay Z, Diddy, Bruno Mars ($60 million)
15. Justin Timberlake ($57 million)
16. Pink ($52 million)
17. Michael Bublé ($51 million)
18. Rihanna ($48 million)
19. The Rolling Stones ($47 million)
20. Roger Waters ($46 million)
21. Elton John ($45 million)
22. Kenny Chesney ($44 million)
23. Katy Perry ($40 million)
24. Jason Aldean, Jennifer Lopez ($37 million)
26. Miley Cyrus, Celine Dion ($36 million)
28. Muse, Luke Bryan ($34 million)
30. Lady Gaga, Drake ($33 million)
 
Kwani Mengi ni msanii pia? Au ni mmarekani? Mbona hata Bill Gates hayupo?
By the way awepo asiwepo hakuna tatizo kwake kwa kuwa hajafeli kushindana nao. Hata Logic ya kumlinganisha hapa siioni
 
siziamini eti bruno yupo sawa na jay z na dirty money
hiki kichekesho
 
Bora ya huyu nyumba inamshinda kumaliza.kuna jirani yetu hata hela ya video ya Mwana hana ndio yupo kwenye process ya kuomba Mkopo NMB

Co kweli baba nyuma ya mwana iyo
 

Attachments

  • 1418490420424.jpg
    1418490420424.jpg
    8.3 KB · Views: 2,757
  • 1418490454065.jpg
    1418490454065.jpg
    6.2 KB · Views: 2,755

Similar Discussions

Back
Top Bottom