Hawa ndio wasanii waliolipwa pesa nyingi duniani kwa kipindi cha 2012-2013

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
List mpya kutoka Forbes inahusisha wasanii waliolipwa pesa nyingi duniani kwa kipindi cha June 2012 hadi June 2013 ambapo pesa hizo zinatokana na mauzo ya album,show(tour) na vitu vingine.
Wakongwe bado wapo kwenye list na Justin Bieber japokuwa na udogo wake lakini bado ameendelea kubaki kwenye top 10 ya list hii.
Haya hapa ni majina ya wasanii hao na pesa walizoingiza kwa kipindi hiki cha mwaka mmoja
1. Madonna – $125 million
2. Lady Gaga - $80 million
3. Bon Jovi – $79 million
4. Toby Keith – $65 million
5. Coldplay – $64 million.
6. Justin Bieber – $58 million
7. Taylor Swift – $55 million
8. Elton John – $54 million
9. Kenny Chesney – $53 million
10. Beyonce – $53 million (tie)

11. Sean “Diddy” Combs – $50 million
12. Sir Paul McCartney – $47 million
13. Calvin Harris – $46 million
14. Jennifer Lopez – $45 million
15. Roger Waters – $44 million
16. Muse – $43 million (tie)
16. Rihanna – $43 million (tie)
18. Jay Z – $42 million
18. One Direction – $42 million (tie)
20. Dr. Dre – $40 million
20. Red Hot Chili Peppers ($40 million, tie)
22. Rolling Stones – $39 million (tie)
22. Katy Perry – $39 million (tie)
24. Tim McGraw – $33 million (tie)
25. Pink – $32 million (tie)
25. Tiësto – $32 million (tie)
 
Duh uyo madoma namfananisha na jide apa bongo,yaan toka miaka hiyo hadi leo bado yupo juu japokuw kila siku wasanii wapya wanaongezeka
 
Rihana na mikwara yote ya show za kila siku hat kumi bora hajaingia duh..
 
Back
Top Bottom