Hapo hata Mwenyekiti wa IPP haoni ndani

Hii ni forbes ya kitaani kwenu aiseeee.... Sio hii niijuayo mimi
 
Forbes.

1. Dr. Dre ($620 million)
2. Beyoncé ($115 million)
3. The Eagles ($100 million)
4. Bon Jovi ($82 million)
5. Bruce Springsteen ($81 million)
6. Justin Bieber ($80 million)
7. One Direction ($75 million)
8. Paul McCarney ($71 million)
9. Calvis Harris ($66 million)
10. Toby Keith ($65 million)
11. Taylor Swift ($64 million)
12. Jay Z, Diddy, Bruno Mars ($60 million)
15. Justin Timberlake ($57 million)
16. Pink ($52 million)
17. Michael Bublé ($51 million)
18. Rihanna ($48 million)
19. The Rolling Stones ($47 million)
20. Roger Waters ($46 million)
21. Elton John ($45 million)
22. Kenny Chesney ($44 million)
23. Katy Perry ($40 million)
24. Jason Aldean, Jennifer Lopez ($37 million)
26. Miley Cyrus, Celine Dion ($36 million)
28. Muse, Luke Bryan ($34 million)
30. Lady Gaga, Drake ($33 million)

Hizo wametumia vigezo gani wapi oprah winfred, bill gets, na waarabu wa dubai
 
Bora ya huyu nyumba inamshinda kumaliza.kuna jirani yetu hata hela ya video ya Mwana hana ndio yupo kwenye process ya kuomba Mkopo NMB

Hivi ni lazima Diamond akitajwa basi nae Kiba atajwe?

After all kuna ubaya gani mtu kukopa?
kwahyo ukikopa tu unakua masikini?

Mbona Mengi ana mkopo pale Nbc wakat mimi sina mkopo,ina maanaisha mimi ni tajir zaid ya mengi?
 
Hii naikataa ,inamaana 50 cent hana $ 33 mil? , lil Wayne owner wa cash money iliyomtoa Drake juz juz nae hayupo? Where is birdman? , Kanye West? P Diddy mwaka juz aliingiza $ 120 mil ndan ya mwaka mmoja tu , mwaka Jana aliingiza $ 60 mil , hapo sijagusa miaka ya nyuma , unataka kuniambia ana utajiri wa $ 60 mil tu? hahaha Si kweli
 
Mtoa mada nadhani kichwa chake kimejaa funza. Nadhani hiyo ni list ya mpunga waliomake kwa mwaka huu tu (not sure).. Top 5 ya wenye pesa ni Dr. Dre, Diddy, Jay Z, 50 Cent na Birdman
 
Hivi ni lazima Diamond akitajwa basi nae Kiba atajwe?

After all kuna ubaya gani mtu kukopa?
kwahyo ukikopa tu unakua masikini?

Mbona Mengi ana mkopo pale Nbc wakat mimi sina mkopo,ina maanaisha mimi ni tajir zaid ya mengi?

Anakopa ili atoe video kama ya my number one
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom