mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,412
- 5,151
Ukiingia kwenye website ya flightradar, kulionekana ndege yetu , mali ya wananchi (air Tanzania) imeruka mapema asubuhi, lakini hivi sasa Kuna nyingine iko scheduled kuruka saa nane mchana..
MAADUI WANATOROKA kupitia airport, yawezekana jeshi limewaruhusu watoroke!!.. AIRPORT PASALIMIWE
MAADUI WANATOROKA kupitia airport, yawezekana jeshi limewaruhusu watoroke!!.. AIRPORT PASALIMIWE