mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,309
- 2,218
Mbona Musukuma hakukumbukwa kwenye uteuzi? Kwani PhD yake haistahili uteuzi?Hatimaye utatu mtakavitu umerejea katika ramani ya madaraka.
Ni vijana watatu waliozaliwa katika familia tatu zenye utakavitu mkubwa.
Mmoja kazaliwa njia panda ya barabara ya Morogoro na tanga, huyu hana sifa ya kuwa waziri popote duniani lakini kinachombeba ni kuwa katoka familia ya kitakavitu.
Mwingine ni mjukuu wa mchonga vinyago , huyu ni kijana mwenye majivuno na majitapo kuwa yeye genge letu lisingeingia peponi, kwani yeye alitumia siku 78 porini akifanya na kupanga mikakati ya kumpokea masihi.
Kijana mwingine ni mzaliwa wa milimani, huyu japo ni mkimya sana lakini hatari yake ni kubwa sana, ndiye wa kwanza katika watoto wetu watatu kurejeshwa katika system anahusika na kukata umeme.
The returns of the noble families childrens.
Ni mimi masikini wa kutupwa mdogo wetu manengelo bin Ruhumbika kutoka kijiji cha mwagiligili wilaya ya Kwimba....Karibuni tuvune Dengu.