Oooh Shiiiit....
I can see the photograph was taken during the half way of the midday, when the sun rises to N23'E long and S48'W lat
But since the capture is oblique and not aerial, its hard for me to identify the location.
But If I could guess, it must be somewhere where an Engineer made his effort to build the road for the benefit of the society.
#Chief Eng.
mkuu inaoneka jiografia ulifaulu vizuri sana..
Ulishawahi fika?
Ntajuaje kama hujacopy jibu la mchangiaji wa juu yako?
kweli mdau, njia hiyo kama siyo mwangalifu, unapitiliza...!! nionavyo mimi, Zambia, wako favoured na landscape ambayo ni tambarare kuliko Huku Bongo. Ingawa mimi siyo mhandisi wa barabara, lakini milima na mabonde yana cost hela nyingi katika ujenzi wa barabara na muda pia.....Nchi kama Botswana, south Africa na Namibia ni full tambarare...!! mara nyingi huwa najiuliza, kama barabara za kule ndo ingekuwa Bongo....madereva wengi tungewapoteza, kwani barabara zinahamasisha kutembea....Ile kona ukichezea kidogo unapaa.
Cha ajabu zaidi madereva wa huko wanapata ajali kwenye sehemu ndogo sana kama hiyo.kweli mdau, njia hiyo kama siyo mwangalifu, unapitiliza...!! nionavyo mimi, Zambia, wako favoured na landscape ambayo ni tambarare kuliko Huku Bongo. Ingawa mimi siyo mhandisi wa barabara, lakini milima na mabonde yana cost hela nyingi katika ujenzi wa barabara na muda pia.....Nchi kama Botswana, south Africa na Namibia ni full tambarare...!! mara nyingi huwa najiuliza, kama barabara za kule ndo ingekuwa Bongo....madereva wengi tungewapoteza, kwani barabara zinahamasisha kutembea....
2014 mpaka leo unapakumbuka......hongera.nilipita pita mara ya mwisho ni 2014 nadhani
Vizuri. Wewe ni mdau wa mambo ya trucking?
Cha ajabu zaidi madereva wa huko wanapata ajali kwenye sehemu ndogo sana kama hiyo.
Sasa wakija bongo?
Barabara za wenzetu ni full tambarare. Hii hapa ukitokea windhoek kwenda Gaborone botswana
View attachment 370056
Ndio maana wanatumia muda mfupi kutoka Durban hadi Kasalumbesa kuliko kutoka Dar.Barabara za wenzetu ni full tambarare. Hii hapa ukitokea windhoek kwenda Gaborone botswana
View attachment 370056
Hii barabara ilivyotengenezwa life span yake itakuwa ndogo. Kutokana na huu utambarare ambao unaruhusu maji kipind cha mvua kutembea barabaran. Sio bora