mgangawaukoo
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 2,183
- 2,394
Ushawahi toka nje ya tanzania kwa barabara?
nilipita pita mara ya mwisho ni 2014 nadhaniHongera sana. Umepatia.
Natamani nikupe zawadi, nikikuwa na uhakika hakuna angepajua.
Unapita sana maeneo hayo?
Kama kuna kaukweli fulank hiviiBarabara ya kwenda kasumulu Malawi mbele Kidogo ya njia panda panda ya Kiwira Coal Mine
Mtoto wa malayaHapo patakuwa duniani!