Hapa sijamwelewa Brock Lesnar

Hiii itakua ni ile ya mikwara, wamekuja km security hivi wakampiga pingu kabla hajaondoka ndo Brock akaingia. lakini bado nalisubilia pambano la hawa wawili japo cjajua nilini kwenye wristle
Angalia wrestlemania mwezi ujao lesnar atatetea ubingwa wake (universal championship ) Dhidi ya Roman
 
Naangalia hapa kitu hawa Kevin Owen na Sami Zayn walichomfanya Meneja wao Shane McMahon huu ni zaidi ya uuaji yaani,
Hivi unaazaje kusema haya ni maigizo wakati wanambana na steel chair kwenye shingo na kumbamiza kwenye nguzo??
Yaani maigizo kwamba nguzo ni ya sponge au kiti cha mpira sio steel?
Na wakamburuta mpaka koridoni wakambamiza tena kwenye ngazi, dah
Kwaiyo mtu anapo chomwa kisu kwenye movie anakufa kweli?
 
Back
Top Bottom