Hapa sijamwelewa Brock Lesnar

polisi walikuwa wanamtoa uwanjani na pingu ndiio brock lesnar akapata nafasi ya kumpiga pia promo pia si unajua biashara
 
Hii sentensi ulioandika mwisho sidhani aisee,
Roman hamwezi The Beast,
Atajitahidi Spear zake kadhaa au Supermen Punch but akija kukamatwa kwenye Suplex City tu basi mchezo unaishia hapo.

Ni kweli Suplex City ni pagumu, nakumbuka The Beast Alitetea Mkanda 4 Men competed in the same ring Brock Lesnar, Braun Strowman, Roman Reign na Samoa Joe.
The Beast Alitetea Mkanda kwa kumpiga Roman Reign. Namkubali Roman Reign akijiandaa, kampiga Undertake kamfanya astaafu, japo Undertake anarudi kwenye WrestleMania anakuja kupambana na John Cena
 
Undertaker wa sasa hata Mie naweza kumpiga (joke),
 
Undertaker wa sasa hata Mie naweza kumpiga (joke),

Haaaaa subutu uwezi mpiga Undertake(Dead man). Yaani wewe hata huyu huna uwezo wa kumpiga Hornswoogle mbilikimo wa kizungu
Screenshot_2018-03-21-09-44-40.png
 
Roman The Big Dog nampenda huyu jamaa sana...fevorite wangu...

Ila Kuna watu wangejaaliwa miili mikubwa mieleka wangesumbua sana Balor na Rollins kwa ugumu wao wangekua nondo mnooo...
 
Huu mchezo hata aje mtu aseme cheza nitakuripa mshahara wa rais wa marekani sichezi....

Mchezo wa roho mkononi huu mahali popote mkikutana na mpinzani wako kinawaka
 
Kati ya mechi Braun amepiga kishkaji zaid ni vs The Bar Seamus & cezaro monday night raw...

Ila Lesnar sijui kwa nn kaamua kufanya vile ngoja nasubiri kwa hamu mnogesho... wake huki wrestlemenia....
 
!
!
Brainless kweli aiseee. Michezo ya kuigiza Ile na ninyi
Naangalia hapa kitu hawa Kevin Owen na Sami Zayn walichomfanya Meneja wao Shane McMahon huu ni zaidi ya uuaji yaani,
Hivi unaazaje kusema haya ni maigizo wakati wanambana na steel chair kwenye shingo na kumbamiza kwenye nguzo??
Yaani maigizo kwamba nguzo ni ya sponge au kiti cha mpira sio steel?
Na wakamburuta mpaka koridoni wakambamiza tena kwenye ngazi, dah
 
Hapo alimpa kipigo Roman Reign akiwa na pingu mkononi, ilikua Roman alikua anatolewa nje uringo na mapolisi wakamtia pingu, brock lesnar akatokea huko alimpa kichapo cha kufa mtu sijui kama Roman amepata nafuu maana alipigwa haswa
 
Kumbe hata Brock Lesnar na U-Mwamba wote ule still bado ana tabia za Ki-Coward za kuvizia vizia watu?
Nilidhani wababe wanaojiamini hawanaga hizo mambo
 
Kumbe hata Brock Lesnar na U-Mwamba wote ule still bado ana tabia za Ki-Coward za kuvizia vizia watu?
Nilidhani wababe wanaojiamini hawanaga hizo mambo
Brock lesnar na nguvu zote zile eti anavizia, imenikera sana
 
Back
Top Bottom