Hapa Sijamuelewa Lukuvi

Hapa Sijamuelewa Lukuvi

Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

vumbi la maboksi unayobeba huko limeingia hadi kwenye ubongo wako na kukufanya ushindwe kufikiri vizuri. thats why unaropoka tu.p
 
Wewe Chris Lukosi kwa ujinga huu unaofanya humu jf kukashifu viongozi wa upinzani hata pale panapokuwa hakuna umuhimu wa kufanya hivyo nakushauri utumie fake id kwani wengi huku iringa tuna hasira na wewe.
Utnanifanya nini?
chunguza vizuri kabla hujaandika
anyway Leo Ni siku kuu yenu
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

chris sidhani kama wewe ni mtu mzima uliyeelimika kisha unakuwa na maneno ya dharau sana kwa yule aliyekufanya leo ujulikane katika siasa za tz.Kwani ulipojiunga na Cdm ulikuwa hujui kama ni DJ??nakuomba angalau uuvae ukweli,uivae hekima na busara kisha ujifanyie self assesment...tafadhali sana
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

We unaona ujanja sana kujichora mbele za vyombo vya habari kwa aibu zinazoletwa nawatu mawazoyao wanafikiria kuunda tume kila kitu ili wakajilipe posho?.Bahatiyenu hata Baba ritz1 hakuwa na mwaliko wowote nje,vinginevyo lingeanguka hata yuko air port asingeahirisha angemtuma pinda akatoe machozi pale!
 
lukuvi Ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu acha kukurupuka lukosi afy wewe ni cdm umekuja lini kwetu.
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
Bwana Chris Lukosi, si kila kitu ukichukulie kisiasa. Sijaona kwenye post ya mleta hoja alipoonyesha upinzani wake.
Suala la kubomoa jengo hilo ni suala la kitaalamu. Si vema kwa kiongozi kutoa tu amri ya kubomoa jengo bila kuwa na sababu za kitaalamu. Kwa wale waliokuwepo na kumsikia Lukuvi alionekana kutoa amri bila ya kueleza basis ya kitalaamu ya maamuzi ya kubomoa jengo hilo.
Tupunguze siasa kwenye masuala ya kitalaamu jamani
 
Last edited by a moderator:
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

Hawa Wapinzania watakusababishia uugue lukwale (uchizi) kaka !!!
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

tumiaga akili yako we mbeba box,mtu akihoji kitu hata kama ni mtoto wa darasa la kwanza unamwita mpinzani?
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

Acha unafiki,umeambiwa hilo ni tamko la Chadema au atakayeenda tofauti na mawazo ya viongozi wako wamgamba basi ni Chadema?.Hayo ni mawazo yake sio ya chama.
 
Ila chriss umeiharibu hii thread na lengo lako la kuwahamisha watu kwenye ajenda ya msingi umefanikiwa kwani wamekuwa busy kujadili utumbafu wako.
 
Maswali ya kijingaNa ukiisha pata jibu itakusaidia nini?Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
Narudia tena kukuwekea nilichouliza kama utakuwa na aliki zenye ufahamu wa kutosha utanielewa''Lukuvi alimwagiza Kova kuwa watu waliokuwa karibu na jengo jingine la ghorofa 15 lililojengwa na mkandarasi huyo, kuhama mara moja na ubomoaji ufanyike bila kuleta madhara''Hoja yangu inasimama hapo kwenye agizo la Lukuvi kwa Kova hapo juu jengo hilo ameamua libomolewe ni kwa sababu limejengwa na huyo mkandarasi au kuna sababu zingine za kitaalamu zilizoainishwa? nina mashaka na tamko hili kama limezingatia utendaji unaofuata sheria na taratibu.
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

Tumia akili japo kidogo; Usifikiri kuwa waziri ina maana kila tamko analotoa lina tija ama faida kwa Taifa. Kama una kumbukumbu japo kidogo recall maagizo ya Lowasa kubomoa maghorofa mawili hapo Masaki na nini kinafanyika sasa ndani ya Serikali.
 
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri ndugu yangu bwana Chris Lukosi. Sikutarajia u urge kitoto. Ni hayo tu.
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
Mkuu pamoja na kuishi UK, bado unazungumza kama unaishi Muleba. Please be your age and act like an educate person
 
Chris Lukosi

Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

Tumia akili japo kidogo; Usifikiri kuwa waziri ina maana kila tamko analotoa lina tija ama faida kwa Taifa. Kama una kumbukumbu japo kidogo recall maagizo ya Lowasa kubomoa maghorofa mawili hapo Masaki na nini kinafanyika sasa ndani ya Serikali.

Kwa kukusaidia soma hii habari;

Lowassa aingiza serikali matatani

Mwandishi wetu's picture

Na Mwandishi wetu - Imechapwa 10 March 2010

Edward Lowassa

MAAMUZI ya serikali yaliyotolewa wakati wa waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, yataitia hasara ya zaidi ya Sh. 8 bilioni, MwanaHALISI lina taarifa.

Hasara hiyo inatokana na Mahakama Kuu, Kitengo cha Biashara kuiamuru serikali kulipa kiasi hicho kwa kampuni ya Empire Properties Limited, ambayo majengo yake yaliyoko jijini Dar es Salaam, yalibomolewa mwaka 2006.

Taarifa zinasema mwaka 2006, Lowassa aliamuru kufanyika ukaguzi wa majengo, hasa ya ghorofa, yaliyojengwa kiholela jijini Dar es Salaam na kuwachukulia hatua wanaohusika.

Jengo la Empire Properties Limited, lililopo makutano ya barabara ya Mwaya na Toure, Masaki yalikuwa miongoni mwa yaliyokaguliwa na hatimaye kuvunjwa kwa madai yalijengwa kinyume cha taratibu.

Lakini, kupitia hukumu ya kesi Na. 66 ya mwaka 2006 iliyosomwa 8 Januari mwaka huu, na Jaji A. Nchimbi aliamua kuwa uvunjwaji wa majengo hayo ulikuwa batili na sasa manispaa ya Kinondoni iliyoshiriki kuyavunja inatakiwa kulipa fidia.

Uamuzi wa mahakama unakuja wakati viongozi serikalini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na baadhi ya vyombo vya habari, wamekuwa wakijitahidi kumsafisha Lowassa kutokana na kashfa ya Richmond iliyosababisha ajiuzulu Februari 2008.

Malipo haya yaweza kuibua madai mapya dhidi ya Lowassa na halmashauri ya manispaa ya Kinondoni na kusababisha mradi wake wa kujisafisha kuwa mgumu zaidi au kukwama kabisa.

Wakati kesi ikinguruma, manispaa ilidai kwamba ujenzi wa majumba hayo ulikiuka kibali cha ujenzi. Majengo hayo ambayo hayakuangushwa yako Kitalu Na. 383, Masaki.

Kwa mujibu wa manispaa ya Kinondoni, kibali cha ujenzi kilichotolewa kwa kampuni hiyo chenye Na. 0000500 kilikuwa kwa ajili ya ujenzi wa jengo lisilozidi ghorofa tatu tu.

Lakini manispaa ilidai mahakamani kwamba kampuni hiyo ilikuja baadaye kujenga ghorofa nane, jambo ambalo lilikuwa kinyume cha kibali kilichotolewa.

Kati ya Mei 15 na 17 mwaka 2006, askari wa manispaa ya Kinondoni walianza ubomoaji huo kwa kuanzia na ukuta ambao nao walidai ulijengwa kinyume cha maagizo ya kibali.

Hata hivyo, katika mahakama hiyo, kampuni ya Empire iliwasilisha kibali Na. 0000600 kilichotolewa na manispaa hiyo, ambacho kinaonyesha kampuni hiyo ilipewa idhini ya kujenga jengo la ghorofa nane.

Manispaa ya Kinondoni inadai kwamba kibali hicho kilighushiwa na hakikutolewa na wao.

Lakini katika hukumu yake hiyo, Jaji Nchimbi amesema kuwa manispaa hiyo imeshindwa kuthibitisha kwamba kibali hicho kilikuwa batili.

Hiyo ilikuwa baada ya ushahidi wa wataalamu wa mambo ya maandishi kuithibitishia mahakama kwamba vibali hivyo vilitoka katika manispaa hiyo hivyo vilikuwa halali.

John Emmanuel Bunga, mmoja wa Watanzania wa kwanza kusomea mambo ya maandishi ya kughushi, ndiye alitoa ushahidi kuonyesha vibali hivyo viwili, Na. 500 na Na. 600, vyote vilitolewa na manispaa ya Kinondoni.

"Manispaa imeshindwa kuthibitisha kwamba kibali hicho kilighushiwa. Kwa sababu hiyo, naagiza Empire walipwe kiasi cha Sh 8,047, 814,000 kama fidia ya hasara iliyopatikana," alisema Jaji Nchimbi.

Pamoja na kiasi hicho cha fedha, Jaji Nchimbi pia aliamuru malipo ya riba ya asilimia 12 inayoanza kuhesabiwa tangu siku ambayo kesi hiyo ilifunguliwa hadi malipo ya mwisho yatakapofanyika.

Katika mwaka huu ambapo mapato ya serikali yamepungua kwa kiasi kikubwa na uchaguzi mkuu ukitarajiwa kutumia fedha nyingi, serikali haitarajiwi kuwa na uwezo wa kulipa.

Serikali itakuwa ikilipa Sh. 965,737,680 kila mwaka hadi itakapomaliza kulipa deni hilo lote.

Kampuni hiyo ya Empire ilikuwa imeomba kulipwa fidia ya Sh 14 bilioni kutokana na kuvunjiwa kwa majengo hayo.

Kiasi hicho kilitakiwa kufidia hasara ya vitu vilivyoharibiwa, hasara ya kukosa wapangaji, mkopo wa ujenzi ambao kampuni hiyo ilichukua ili iweze kujenga na riba ya hasara ya kifedha iliyopatikana.

Kwa mujibu wa mthamini wa majengo aliyetoa ushahidi mahakamani, majengo mawili yaliyokuwa kwenye kitalu hicho, yalibomolewa kwa kiwango cha asilimia 45 na 55.

Jaji Nchimbi alipunguza kiasi hicho hadi kufikia Sh. 8 bilioni kwa sababu Empire hawakusema kiasi cha mkopo kilichochukuliwa na pia ugumu wa kuthamamisha hasara ya kupangisha kwa vile majengo yalikuwa hayajaanza kutumika.

Jaji Nchimbi alisema kimsingi, kesi hiyo ilikuwa na mambo makuu manne; kubainisha iwapo ujenzi wa majengo hayo haukufuata maelekezo ya kibali, kubainisha iwapo ubomoaji huo ulifuata sheria, iwapo fidia inatakiwa kulipwa na ni kiasi gani kinahitajika kulipwa.

Kumekuwa na kauli tofauti kuhusu nani hasa alitoa amri kwa manispaa ya Kinondoani kuvunja majengo ya Empire.

Wakati kuna waliomtaja Lowassa moja kwa moja, wengine walisema alikuwa Ritha Mlaki aliyekuwa naibu waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi.

Manispaa ya Kinondoni tayari imekata rufaa kupinga hukumu hiyo na rufani inatarajiwa kuanza kusikilizwa wiki hii.

Taarifa za ndani zinasema ofisi ya Lowassa kwanza ilitaka manispaa ya Kinondoni ivunje majengo ya Empire; lakini walipokataa, ofisi hiyo ikataka uongozi wa polisi kanda ya Dar es Salaam usimamie uvunjaji.

Ilikuwa baada ya polisi nao kukataa kushiriki kuvunja majengo ya Empire ndipo juhudi zilifanywa kuleta vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa, Ruvu kuja kufanya kazi hiyo ambayo sasa itaigharimu serikali mabilioni ya shilingi.

Mwanzoni mwa mwaka huu, gazeti hili liliandika kuhusu namna Lowassa alivyoamuru malipo ya Sh. 10 bilioni kwa kiwanda cha General Tyre cha Arusha ambazo ni kama zimepotea.

Akiwa waziri mkuu, Lowassa aliamua kuanzisha mradi wa bei mbaya wa kutengeneza mvua kwa kutumia wataalam kutoka Thailand.

Kabla serikali haijatupa rasmi mpango huo, Lowassa alikuwa tayari amejiuzulu uwaziri mkuu na serikali ilikuwa imekwisha kulipa kiasi cha Sh. 10 milioni kwa ajili ya mradi huo wa Lowassa.
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano

Huyu jamaa ni kati ya wale watu wanaolilia haki ya kuolewa!
 
maswali ya kijinga
na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona dj wala dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye tv tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
wewe jamaa mbona wewe unaosha masufuria kwenye migahawa ya mc donald UK.acha ujinga wewe.MWAMBIE LUKUVI NA CHETI CHAKE CHA GRADE 'A' SHULE YA MSINGI AVUNJE HILO GOROFA AONE SERIKALI ITAPATA HASARA KIASI GANI.
 
Afterall itifaki haipo ivo huwezi kutoa maagizo mbele ya mkubwa wako hii ni insurbodination. Ajieleze kwanini atoe amri au yeye alikuwa anamuwekea pinda mdomo
 
Maswali ya kijinga
Na ukiisha pata jibu itakusaidia nini?
Lukuvi ni waziri wa nchi ofisi ya Rais, na ni jukumu la viongozi kutoa maelekezo nini kifanyike kwa faida ya taifa zima.
Hivi nyie watu kwani upinzani ni kupinga kila kitu? Mbona sijamuona Dj wala Dr akifika huko? . Wao wamekaa majumbani kwao wanaangalia kila kitu kwenye TV tu wanasubiri mambo yakipoa waitishe maandamano
Hata na wewe majibu yako ya kijinga. Kwani kuna dhambi gani mtu kuomba kuelewa misingi ya agizo la waziri? Au hasira zinatawala busara zako? Kuna tofauti gani kwa waliokwenda na ambao hawajaenda eneo la tukio ukizingatia umuhimu wao kuhusu suluhisho la tatizo nje ya kutimiza fahari ya macho ya kuona Live na kushughulika na matatizo badala ya kuyazuia yasitokee?
Ubarikiwe sana.
 
Huyu ana masifa sana na ni mfia JK kwa lolote maana amemlinda hadi sasa na atahakikisha wanampitisha chaguo la bwana mkubwa kuwa mgombea urais ajaye!amewekwa CC sababu yeye kwa JK ndio mkuu!habishi na hana la kubisha
 
Back
Top Bottom