Mboga Moja inachosha.Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo). Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
View attachment 3600788
The only reason I want to try witchcraft, is to be sending bees to the parliament.
Hamuoni mwenzie pamoja na majaribu yote hayo bado yupo tuMinaona....
Mchagua jembe, sio mkulima View attachment 3600789
Wewe mtu alishaoa mpaka muhindi unaenda kujaribu bahati au?Hey.. that's mean 🤣🤣🤣
Yale yale ya kujiona una uke mtamu kuliko wengine wote! Mimi hiyo ni redflag haijalishi status ya mtu! Mtu kashindwana na wake wote in very same position aliyopo, wewe woman of wonders unaenda kujaribu, kwa kuhisi ndio highly favored 🤭🤣🤣 Wanake huwa tuko delusional sana..unaona wale wote walishindwa kwa sababu hawakuwa mimi ..kwa sababu mimi ni special sana tutadumu
🤣🤣🤣🤣The only reason I want to try witchcraft, is to be sending bees to the parliament.
Jamaa anajisambazia upendo tu. Hataki shida na kuishi bila mke hawezi🙆♂️Katika pitpita zangu mitandaoni, nimekutana na hii habari ya Mark wa Mark Angel Comedy (kama humjui potezea point yangu sio hiyo).
Wanaijeria hasa wanawake wanamnanga kwelikweli hata mimi nimeona ni kweli kuna jambo haliko sawa, ndani ya miaka 8 ameoa mara nne?? Swali kwa wanawake unaweza kuolewa na mtu aliyetaliki mara tatu?
View attachment 3600788
Taratibu za kugawana mali huwa anazifuata kwa mtu aliyefunga naye ndoa?Unaambiwa yeye ndio huwa anaacha