Hapa roho mkononi!!!


Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
28,977
Likes
13,927
Points
280

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
28,977 13,927 280
Haaa jamani watu wengine, haya picha ya Malaria Sugu mmeipata wapi? ndoo kisa cha kujiita MS baada ya kupona pona kwenye huu mkasa!!!
 

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
26,328
Likes
26,325
Points
280

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
26,328 26,325 280
Hana hatari yoyote, kiboko hawezi kupinda kona hivyo anachofanya ni kutoka mbio kunyoosha kwa kasi na kupinda kona kwa ghafla mchezo umeisha, kutokana na uzito, atakimbia mbali sana ndipo apunguze mwendo, na macho yake hayaoni mbali.
 
Joined
May 30, 2010
Messages
39
Likes
0
Points
0

Parapanda

Member
Joined May 30, 2010
39 0 0
Tena ni pale mtoni Sitalike. Aah nakumbuka zamani palikuwa na samaki wengi wakiuzwa barabarani tukienda Sumbawanga na mabasi ya Railway na Said Ally. Siku hizi hakuna samaki pale, hata viboko wamepungua, kisingizio MABADILIKO YA TABIA NCHI.
 

Forum statistics

Threads 1,204,165
Members 457,147
Posts 28,144,557