Hana hatari yoyote, kiboko hawezi kupinda kona hivyo anachofanya ni kutoka mbio kunyoosha kwa kasi na kupinda kona kwa ghafla mchezo umeisha, kutokana na uzito, atakimbia mbali sana ndipo apunguze mwendo, na macho yake hayaoni mbali.
Tena ni pale mtoni Sitalike. Aah nakumbuka zamani palikuwa na samaki wengi wakiuzwa barabarani tukienda Sumbawanga na mabasi ya Railway na Said Ally. Siku hizi hakuna samaki pale, hata viboko wamepungua, kisingizio MABADILIKO YA TABIA NCHI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.