Hapa roho mkononi!!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,700
Kiboko.jpg
Sijui hapa atajiokoa vipi!

 
Halafu anaonekana ni askari wa wanyamapori maana ana radio call mkononi.
 
huyu jamaa atakuwa alimalizwa kabisa na hili li-mnyama maana limembananisha ile mbaya!
 
Haaa jamani watu wengine, haya picha ya Malaria Sugu mmeipata wapi? ndoo kisa cha kujiita MS baada ya kupona pona kwenye huu mkasa!!!
 
hahah lol
ingekuwa mi ningesisima tu au ntalala chini..
hamna haja ya kukimbia ...
 
Mh!nafikiri hii itakuwa mbuga ya wanyama ya katavi iliyopo mkoani Rukwa!mh kuna kiboko wakubwa uko!
 
Hana hatari yoyote, kiboko hawezi kupinda kona hivyo anachofanya ni kutoka mbio kunyoosha kwa kasi na kupinda kona kwa ghafla mchezo umeisha, kutokana na uzito, atakimbia mbali sana ndipo apunguze mwendo, na macho yake hayaoni mbali.
 
Mh!nafikiri hii itakuwa mbuga ya wanyama ya katavi iliyopo mkoani Rukwa!mh kuna kiboko wakubwa uko!
..................ahahahahaaaaah kweli kabisa mkuu huku ndio nyumbani kwao.
 
huyuu alikuwa aramiaaaa...sasaa kaingiaaa pande sio za kiboko.leoo atajutaaaa
 
Tena ni pale mtoni Sitalike. Aah nakumbuka zamani palikuwa na samaki wengi wakiuzwa barabarani tukienda Sumbawanga na mabasi ya Railway na Said Ally. Siku hizi hakuna samaki pale, hata viboko wamepungua, kisingizio MABADILIKO YA TABIA NCHI.
 
Duh, huyo kiboko ni kama tani tatu hivi, jamaa ana haki ya kukimbia!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom