Wakuu Salaam?
Baada ya kujichukulia sheria mkononi tangia nikiwa form 3 mwaka 2009 hatimae mwaka huu nimefanikiwa kumaliza mwezi bila kujichukulia sheria mkononi.
Njia niliyoitumia ni baada ya kusoma Uzi wa ndugu Mshana Jr kuwa ukiogea chumvi ya mawe kwa siku Saba mfululizo roho ya chafu ya kujichukulia sheria mkononi inapotea.
Nilifata maelezo yote ya ule Uzi now Niko hapa kutoa ushuhuda😂😂😂😂.
Kwa walio teseka na hii Hali na kutamani kuacha lakini wakashindwa basi tiba imepatikana.
Ashukuriwe ndugu Mshana kwa kutusanua.
Nawasilisha.