Hapa Rais Wetu Kikwete Ametoka Wapi?

Hapa Rais Wetu Kikwete Ametoka Wapi?

anatoka kwa mganga wa kienyeji hapo..
 
Anajifanya anatoka kukagua maisha bora kwa kila mtanzania lakini ukiangalia kulia kwake kuna vazi jeusi linaning'ing'inia kama vile kuna kiga gula fulani hakitakiwi kwenye kamera. Naona hapo ni kwa sangoma anatoka kwenye ndumba huyo.
 
Nani alikwambia raisi ni sawa na mzazi wako??

Mi mzazi wangu siyo mkwere....

yatakayofungwa duniani hata mbinguni yamefungwa na yatakayofunguliwa dunian hata mbinguni yatafunguliwa. Hata serikali za wanadamu ni mfumo ambao Mungu aliuweka, waheshimuni viongozi.
 
yatakayofungwa duniani hata mbinguni yamefungwa na yatakayofunguliwa dunian hata mbinguni yatafunguliwa. Hata serikali za wanadamu ni mfumo ambao Mungu aliuweka, waheshimuni viongozi.

tatizo nini kwani?
 
Kitu pekee alichojaaliwa Rais wetu ni mtu wa watu, kwa hili mimi nampa big up sana, yupo tofauti na viongozi wengi wakubwa. Hapo usikute alienda kumuona mgonjwa au kumsalimia mtu fulani! Long live my President
 
Naombeni Maelezo Kulingana Na Unavyohisi Au Kuelewa Hiyo Picha

Ame-fail huo usanii wake, Amesahau kuwa wakazi wa humo hawazijui rain boot si kwenye tope wala mawe!
 
Back
Top Bottom