born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,500
Nani alikwambia raisi ni sawa na mzazi wako??
Mi mzazi wangu siyo mkwere....
Umeandika hivi ili kutafuta uungwaji mkono...! Niamini akili ni mali
Nani alikwambia raisi ni sawa na mzazi wako??
Mi mzazi wangu siyo mkwere....
You are lost and empty minded person.
Inaitwa sampling
anatoka ndani...
yatakayofungwa duniani hata mbinguni yamefungwa na yatakayofunguliwa dunian hata mbinguni yatafunguliwa. Hata serikali za wanadamu ni mfumo ambao Mungu aliuweka, waheshimuni viongozi.