Hapa pwani tuu

Hapa pwani tuu

t shirt ina maneno 'marafiki wa maendeleo' kifupi cha kithungu FOD... kweli ni wapenda maendeleo. Mlo huo unahitaji pesa ni lazima uwe na shughuli ya maana ya maendeleo kuumudu...

Kweli Friends Of Developed manake kwenye kila sahani kuna almost kuku mzima
 
Hivi hiyo ilikuwa ni show ya kula kula? Maana huko kwa background naona masela wamesimama wanashuhudia binadamu wenzao wanavyofakamia vyuku na kushushia na bia bariiiidi, huyo wa mbele kifuani pameandikwa marafiki wa nani? Kule nyuuma kule ni kama yule mama katili mwigizaji anapambana na mnofu toka kwenye mfupa.

Hujakosea mkuu walivaa hivyo siku ya usafi 9 December
 
Kazi na dawa

Baada ya kuzuiwa airport wasiende ulaya
wakaamua kuvunja kamati pale njia panda
ya ulaya (opposite na uwanja wa ndege
kuna baa moja imepajkana na msikiti wa uwanja wa ndege wa JKNIA)

attachment.php
 
Sahivi watu wanajifanya wanaona ni ugonjwa. Wangekuwa wamegeuka hapo Comments zingekuwa tofauti kabisa. Acheni unafiki. Haha.
 
Back
Top Bottom