Hapa pwani tuu

Hapa pwani tuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
1449767918572.jpg
 
Du...yaani mlivyomaliza kufanya usafi wa nje mkaamua kuyachafua matumbo yenu!!!obesity is cherished....
 
Alafu ati ndiyo wanawake hawali sana. Khaaa...
 
Hivi hiyo ilikuwa ni show ya kula kula? Maana huko kwa background naona masela wamesimama wanashuhudia binadamu wenzao wanavyofakamia vyuku na kushushia na bia bariiiidi, huyo wa mbele kifuani pameandikwa marafiki wa nani? Kule nyuuma kule ni kama yule mama katili mwigizaji anapambana na mnofu toka kwenye mfupa.
 
Am sure hizi ni offer. Hapo hakuna aliyetoa hela mkobani kwake
 
t shirt ina maneno 'marafiki wa maendeleo' kifupi cha kithungu FOD... kweli ni wapenda maendeleo. Mlo huo unahitaji pesa ni lazima uwe na shughuli ya maana ya maendeleo kuumudu...
 
Back
Top Bottom