CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
nimejua kumbe wengi huwa mnabisha tuu kwa vitu hata msivyovielewa haaaa!
HAKIKA.....NGOJA WAONE WENYEWE SASA
nimejua kumbe wengi huwa mnabisha tuu kwa vitu hata msivyovielewa haaaa!
kiimani sisi wakatoliki ni sawa! Ni moja ya unyenyekevu tunaotakiwa kuunyesha tukutanapo na wakuu wetu wa kiroho. Ni mara chache sana kuipata hii chance.
sina uhakika kama ni sawa kwa pinda kufanya anacho kifanya...
Ni salamu tu mkuu isikutishe!!labda pinda alitaka kunusu mkono wa mzungu
hapa umekanusha ila sijui umekanusha lipi?
Ukatoliki
pinda ana pete ya sheikh yahya hussein...
Kweli ccm washirikina
Yaani anakosea sana!Tena sana...implication yake kitaifa sio ndogo....anachukulia respects kwa dini yake ambapo inatakiwa iwe kitu personal issue public namna hii na anajua kabisa Watanzania wengi tu,tena sana sio Wakatoliki wenzake,hivyo issue ya vitu kua public namna hii inaleta kitu kama reluctancy atmosphere kwa non catholics ambapo italeta sintofahamu kutoka upande wa pili...
Very very uchemfu kabisa....huwezi kupewa madaraka makubwa namna hiyo na public halafu unaleta personal religious preferences kwenye ofisi zao walizokupa....kinajitia kina heshima sana,kinafiki tu hiki....sipendi mijinafiki namna hii....atleast tupe deliveries basi,hamna kitu,utakatifu usiokua na manufaa kabisa...excuse me,Im just saying....
nimejua kumbe wengi huwa mnabisha tuu kwa vitu hata msivyovielewa haaaa!
..................hapa Amemsujudia..............dhambi kubwa !

YEYE ni mkatoliki wa kigango cha kinondoni

NA BOSI WAKE JE?

HAKIKA.....NGOJA WAONE WENYEWE SASA

NA BOSI WAKE JE?
Sina uhakika kama ni sawa kwa pinda kufanya anacho kifanya...