Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

Hapo uenda kuna baharia alikabidhiwa hiyo mimba mapema sana na akawa anaifund ila baada ya mtoto kuzaliwa baharia akaona siyo chata yake then akaruka, hapo ndo bibie akaona baharia gani mwingine wa karibu mzee baba ukaingia katika list. Hatari sana[emoji16][emoji16]
 
Ukishachukua mbegu.muhusishe muhusika akijataa unaenjoy kwa raha zako na mwanao akikubali unampa condition ya kubaki na mwanao ye anamuhudia mtoto wake simpo!!!
Mungu anatuona sote!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huenda ikawa hivyo mkuu
Hapo uenda kuna baharia alikabidhiwa hiyo mimba mapema sana na akawa anaifund ila baada ya mtoto kuzaliwa baharia akaona siyo chata yake then akaruka, hapo ndo bibie akaona baharia gani mwingine wa karibu mzee baba ukaingia katika list. Hatari sana[emoji16][emoji16]
 
Mbona mimi nina mpango kama huwa wa huyo dada?!
Nipate mbegu tuu yatosha!
Wee hakuna mwanamke mwenye uwezo huo Bongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hayupo labda kama kizazi chake hakifanyi kazi ndo anakuwa anafanya majaribio ya sperms..
 
Kwaio tupo kama wa3 aliyeilea mimba akaruka baada yakutofanana na mtoto, mimi na the actual father??[emoji848][emoji848][emoji848]
Hapo uenda kuna baharia alikabidhiwa hiyo mimba mapema sana na akawa anaifund ila baada ya mtoto kuzaliwa baharia akaona siyo chata yake then akaruka, hapo ndo bibie akaona baharia gani mwingine wa karibu mzee baba ukaingia katika list. Hatari sana[emoji16][emoji16]
 
Wapo wengi sana mkuu, tena wengiiii
Wee hakuna mwanamke mwenye uwezo huo Bongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hayupo labda kama kizazi chake hakifanyi kazi ndo anakuwa anafanya majaribio ya sperms..
 
[emoji848]Inawezekana mzee, maana kwa jinsi walivyo hawa viumbe miezi yote husiambiwe juu ya mimba yako then unakuja kuambiwa mtoto wa miezi 3 hiyo haiwezekani.
Kwaio tupo kama wa3 aliyeilea mimba akaruka baada yakutofanana na mtoto, mimi na the actual father??[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ukishachukua mbegu.muhusishe muhusika akijataa unaenjoy kwa raha zako na mwanao akikubali unampa condition ya kubaki na mwanao ye anamuhudia mtoto wake simpo!!!
Akianza kumhudumia ataanza kumdai!
Na lengo langu awe wangu mwenyewe
 
Wee hakuna mwanamke mwenye uwezo huo Bongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hayupo labda kama kizazi chake hakifanyi kazi ndo anakuwa anafanya majaribio ya sperms..
Usijiaminishe hivyo, wala hatokaa ajue! Nikishajua imenasa basi, na namba nabadili kabisaaa
 
Back
Top Bottom