Nimesoma maelezo jinsi anavyowasiliana na wewe ndio maana nimehukumu hivyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhani alinidanganya ili iweje na hali hakutumia chansi hio kujinufaisha??
Haya mambo kama ulivyoyasimulia ndivyo kweli yalivyo ni marahisi kuliko hata ABCNinao watoto mkuu tena w4 ila kwa asili yetu hatupotezagi watoto, usione mambo marahisi kama ABC
Kwakuwa picha zake unazo basi ni rahisi kumpata. Kusanya kiasi cha pesa cha kukuwezesha kisha nenda na picha zake, watu wa maeneo ya kule wakiona picha zake wanakupeleka moja kwa moja hadi alipo (hili ni kwa mujibu wa uzoefu wangu)
Sasa wewe badala ya kusema Unatuma pesa ya Matumizi unataka upeleke lisura tena???[emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna mwanamke asiependa helaa ila kuomba ndo tatizo so hiyo ndo ilikuwa njia yake uendelee kumpa chochote kitu..
HAKUNA MWANAMKE WA KITANZANIA ATAKUTUNZIA MIMBA YAKO KIMYA KIMYA... HATA KAMA HANA UHAKIKA ATABAHATISHA TU UKIKUBALI INAKULA KWAKO!
Weka picha yake kwenye social networks na maelezo ambayo si lazima useme haya yaliyopo hapa, waweza eleza kama nduguyo na kadhalika, mawasiliano yako. Watu wanaweza kumtambua na kukunganisha nayeUgumu unakuja hapa.
Loliondo alienda onetime kufanta bidhaa ambazo huingia kutoka Kenya kwa mpaka usio rasmi kwa hio tulifikia Gesti moja na nakumbuka kitabu cha gest kilikua very local hakikua na detais za kutosha zaidi ya namba za simu tu, pili kwa Monduli ndo nawaza naanzia wapi maana aliniambia alisoma wilaya ya High milimani sijua hata jina la kijiji. Na namba yake hakusajilia kitambulisho chake bali cha mawakala wanaouza line.
Weka picha yake kwenye social networks na maelezo ambayo si lazima useme haya yaliyopo hapa, waweza eleza kama nduguyo na kadhalika, mawasiliano yako. Watu wanaweza kumtambua na kukunganisha naye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa wewe kwa akili yako kuna mtoto kweli???? Yani kumbe bado huelewi tu point yangu... kazi ipo..Sijakuelewa point yako, kwani mtoto wa miezi3 ningeondoka nae??? Kama ningemuona huoni ndo ningetuma zaidi hayo matumizi???
Unapochangia jaribu kidogo kuwa siriazi
HAKUNA MTOTOO HAPOO..HAYUPOO...![emoji848][emoji848][emoji848] time will tell
Hajawahi mpa mimba demu ile serious huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mamaee hakuna rangi utaacha ona wengine hawana hata uhakika so long ulitumbukiza dyudyu unawekwa kwenye list..Hakuna mimba hapo hakuna mtoto na wala wewe huna mtoto hapo. Ungekua mzoefu ungejua kimuhemuhe cha madem wenye mimba inayokuhusu,sembuse miez9 asikwambie thubutuu
#baharia nimesema