Mpaka aweze kuja kuuliza babake akili yangu itakuwa bado imelala tuu?!We nawe kama yule mdada tu[emoji57][emoji57]
Mtoto akiuliza baba yake??
BlessedApology accepted
Ila wanawake wa namna hii huwa wanakauwezo na ni wajeuri saana[emoji848] Posible mzee, maana si rahisi miezi yote ya mimba awe kimya then uambiwe mtoto ana miezi 3, kimuhemuhe cha hawa viumbe wakiwa na mimba yako si cha mchezo. Hapo anataka kukuangushia jumba bovu.
Hiyo mbaya kwa psychology ya watoto, maana wasipoambiwa baba yao amekufa.wataambiwa walikataliwa.Kuna best yangu nae alibeba mimba ya mtu akampotezea
Nimemshauri amshirikishe huyo mtu
Anasema hatak stress za wanaume watoto wake ni faraja tosha(alipata mapacha)
Dada wengi humu hawajaelewa wanafikiria mdada alitaka hela tu
Sawa mkuu ila kama mzazi ningependa hata kujua anaendeleaje.Mkuu nikuulize tafadhali, baada ya yoooote hayo bado unadhani una mtoto hapo? au kwani huna uwezo wakupata wengine?
Mwanake asiku stress kwa mtoto kama alitaka mbegu umeshampa umejitahidi kujisogeza amegoma kwa sababu anazozijua yeye,kwa ufupi umejitahidi songe mbele mkuu yeye ata ji sort.
Kumbe unajuaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] unawajua wanawake wengine wanajiweza kwako anataka mtoto tu bhaaasi, hao wa kupeana masharti na hana kitu atakuletea mtoto ofisini kwako[emoji23][emoji23]
Sasa hapo kwenye mipango ndo balaaa...!![emoji23][emoji23][emoji23] Ukijichanganya ukaingia mkenge unaweza juta milele yoteKila mtu ana malengo yake, na watu hawafanani kabisa!
Mpaka mtu apate wazo hilo jua ana mipango yake!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajakua mwache aendelee kupiga viwanafunzi, ambavyo vikipitisha period siku2 simu kama customer care wa voda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji390][emoji390][emoji390][emoji390]
Hahahahaaaaa ntampata as long he lives and as long as I breathBora wewe useme!
Nimetafuta kwa miaka kumi sababu ya mwanangu, leo nikamjulishe mwenye mtoto aanze kutusumbua hell no...,wala hatojua! Bidada kakosea kukujulisha na huko aliko anajuta!
Mimi lengo langu na mpango ni moja tuu!Sasa hapo kwenye mipango ndo balaaa...!![emoji23][emoji23][emoji23] Ukijichanganya ukaingia mkenge unaweza juta milele yote
Hahaha hahahaHahahahaaaaa ntamoata as long anaishi and as long as I breath
Namwambia tuu umesafiriHuchelewi kusema nimekufa?? Hivi tamaa yako imfanye mtoto asimjue baba yake mnaroho ngumu sana wanawake wa hivyo