Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

Mmh labda nisiwe mbishi
Hakuna mimba hapo hakuna mtoto na wala wewe huna mtoto hapo. Ungekua mzoefu ungejua kimuhemuhe cha madem wenye mimba inayokuhusu,sembuse miez9 asikwambie thubutuu

#baharia nimesema
 
Yani mtoto angekuwepo nakwambia Ungemuona tu tena kwa kuletewa..!![emoji23][emoji23][emoji23] Anachotaka ni kukuchuna helaaa kama huwezi kutuma hela bhasi Uongo wake umefeli.. Wew ndo mjanja.
Kwa kuwa sikujua suala la.mimba hela kubwa aliyoipata ni ya kulazwa maana nlitoa msaada kama kwa mtu yeyote anayegusa maisha yangu ila si kwa ajili ya kujifungua. Na kwa kuwa hakuwa ananipiga mizinga nikijumlisha hela yooote ya mwaka na zaidi ni kiasi kidogo sana kulinganisha na biashara aliyoifata Loliondo. Simply she's not a gold digger, unless labda kama ndo alitaka kuanzia hapo
 
Kwa experience kaka wewe kuwa na subra kama ni damu yako ni lazima atakutafuta tena atakutumia picha ya mtoto. Mimi yashanikuta hayo na bado naendeleza hivo hivo hawa viumbe sijui wana tatizo gani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushauri wa kibaharia kweli ila mimi kaka yako ujuen hayo mambo nawaachia nyinyi vijana
Hilo jina tu kijana..[emoji23][emoji23][emoji23] Ila usipotezwe maboya ukapoteza muda wako na hela.. Kama una shida sana na mtoto tia mimba tu mbona mademu wengi..
 
Kwa kuwa sikujua suala la.mimba hela kubwa aliyoipata ni ya kulazwa maana nlitoa msaada kama kwa mtu yeyote anayegusa maisha yangu ila si kwa ajili ya kujifungua. Na kwa kuwa hakuwa ananipiga mizinga nikijumlisha hela yooote ya mwaka na zaidi ni kiasi kidogo sana kulinganisha na biashara aliyoifata Loliondo. Simply she's not a gold digger, unless labda kama ndo alitaka kuanzia hapo
Eehe ndo umsome sasa ukute hata huko hospital ilikuwa ni fix tu...!! Wanawake achana nae mkuu.. So long ulipita nae kujifurahisha tu elewa kuwa hakuna mwanamke asiependa pesa ila Kuomba sasa wengi hawawezi siku hizi unaletewa matatizo tu.. Na hivi mpo mbali hakuna njia nyingine ya kukuchuna hela zaidi ya Mtoto maana ingekuwa mimba ungemwambia akutumie picha lakini mtoto ndo kama hivyo kapiga picha hata haieleweki like anakuzungusha hivi ila ukweli ni kuwa.


HANA MTOTO WAKO WALA MIMBA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushauri wa kibaharia kweli ila mimi kaka yako ujuen hayo mambo nawaachia nyinyi vijana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
 
Kweli mkuu mimi nineishi maisha ya uswahilini naona watoto wanavyoteseka kwa maamuzi ya wazazi so staki damu yangu iteseke pia, watoto wa namna hii wanakua na resentment saana kwa baba zao wakidhani walitelekezwa
Kwa experience kaka wewe kuwa na subra kama ni damu yako ni lazima atakutafuta tena atakutumia picha ya mtoto. Mimi yashanikuta hayo na bado naendeleza hivo hivo hawa viumbe sijui wana tatizo gani
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] labda kweli lakini[emoji848][emoji848]
Eehe ndo umsome sasa ukute hata huko hospital ilikuwa ni fix tu...!! Wanawake achana nae mkuu.. So long ulipita nae kujifurahisha tu elewa kuwa hakuna mwanamke asiependa pesa ila Kuomba sasa wengi hawawezi siku hizi unaletewa matatizo tu.. Na hivi mpo mbali hakuna njia nyingine ya kukuchuna hela zaidi ya Mtoto maana ingekuwa mimba ungemwambia akutumie picha lakini mtoto ndo kama hivyo kapiga picha hata haieleweki like anakuzungusha hivi ila ukweli ni kuwa.


HANA MTOTO WAKO WALA MIMBA.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] labda kweli lakini[emoji848][emoji848]
Serious angekuwa na mwanao wee angetuma zamani sanaa..Vile pesa unayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Zari mwenyewe kamdanga mondi na pesa zote zile ndo huyo mdada akupotezee kizembe tu na anamwanao thubutuu
 
Huu ndio ubaya wa kukutana na mwanamke bar na kupiga mbu.pu! Hivi kwanini vijana hamtaki kuoa?
 
Maelezo yako yako very clear na jinsi mapicha picha aliyokuchezea huyo mtoto sio wako alitaka kukugeuza kitega uchumi. Kama kweli huyo mtoto angekua ni wako mala baada ya kujifungua alipoamua kukuachia tu mtoto ni wako na ulipomwomba picha angekutumia Mara moja.
Akiri za kuambiwa ongeza na za kwako.
Mjini hapa utageuzwa ka ETM
 
Yawezekana mtoto ni wako kabisa ila alishapatikana mtu akabambikiziwa kwakuwa ana pesa na anahudumia vizuri.
Habari za asubuhi ya jumapili wadau,

Kisa kipo huvii,

Ilikua mwaka 2015 nilisafiri kwenda mkoa wa Arusha wilaya ya Loliondo sana kutafuta riziki, huko nikakutana na mdada mzuri saaana mweupe kaenda hewani na shepu ya maana ni mdada wa Kiarusha/Mmasai, tukaJUANA kwa siku kadhaa then nilipomaliza kilichonipeleka huko, nikarudi zangu kwangu Iringa, tukaendelea na mawasiliano ya hapa na pale.

Hakuwahi kunipiga mzinga hata siku moja ila nlikua najiongeza mara kadhaa nlimuwezesha kiasi kidogo cha pesa coz show zake nlizielewa sana.

Baada na miezi kadhaa akaniambia kwamba amelazwa Mt. Meru hospital, nikampa pole na kumtumia kiasi cha pesa kwa ajili ya matibabu, baada ya kama siku 4 akaniambia ameruhusiwa na anarudi kwao Monduli.

Miezi mitatu baada ya kuruhusiwa hospitalini akaniambia kwamba ana mtoto, nilishangaa maana hakuwahi kuniambia ana mimba, nikampa hongera zake, akaitikia na kuniambia kwamba mwanae anafanana sana na mimi, sikutilia maanani, nikamwambia labda kwakua alinipenda ndomana mtoto anafanana na mimi.

Baada ya wiki 1 alipoona siunganishi matukio, akaamua kunichana kwamba mtoto ni wakwangu, duuuh! Nilistuka sana na kuanza kuhesabau siku, kwa kuwa tulipiga picha na nliziweka Dropbox ikabidi nizisake kujua tarehe nilizokutana nae.(picha huwa zina tarehe na saa ya picha kupigwa)

Nikaona zinaoana na siku alizolazwa Mt. Meru, nikasema mbona hukuniambia siku zote hizi ili nijue, akadai hakutaka kujipa stress maana huenda ningekataa na pia akadai yeye alipanga kuzaa na mimi kwa sababu ya muonekano wangu na kwamba mtoto ni wakwake na sio wetu.

Nilipatwa na mshangao sana, nikawa namuomba picha ya mtoto maana alikua na miezi 3 na wiki kadhaa ili nijiridhishe kama labda anafanana ni mimi akagoma katakata. Nikamuuliza sa alikua na sababu gani kuniambia kwamba ana mtoto wangu na hali hatuka hata nimjue? akasema amefanya ivo ili nijue nina mtoto na si kwa dhumuni la mimi kuhusika na mtoto.

Nilikasirishwa sana na hiyo tabia nikapanga kwenda kumsaha Monduli maana napajua nlisomaga A-level Moringe miaka ya 2000, nlipomweleza wazo hilo akaniambia atanitumia picha.

Nikasubiri kama wiki2 akatuma picha za mtoto ananyekaribiana umri na yule mtoto ila sura, rangi na muonekano vinatofautiana sana na jinsi aliponisimulia pindi aliposema mtoto wake alizaa na mimi na kwamba anafanana na mimi rangi hadi sura, mi nina rangi nyeupe kiasi na yeye ni mweupe saana, sa picha ya mtoto aliyotuma ni ya mtoti mweusi tii ana komwe kubwa kama mkenya (sina nia ya kumdharau huyu mtoto wa kwenye picha).

Nikahisi hapa nachezewa mchezo ili nisiende, nikasisitiza nia ya kwenda, akaniambia anabadilisha namba ya simu na kweli akawa hapatikani tena hadi leo, kwa kuwa Monduli ni kubwa saana kuanzia mto wambu, Monduli Juu, vijijini na sikujua nampataje nikashindwa kumtafuta na nimepoteza mtoto.

Wanawake bwana!! Kama aliamua kuzaa mimi ili apate copy yangu si angekaa kimyaa sasa napata shida kuona sijahusika katika maisha ya damu yangu, baadae mtoto aje kunitafuta ukubwani aseme baba yake alimkataa, pengine akamuacha kwa bibi yake akaenda kusaka maisha kwingine mtoto wangu akapata taabu na baba yake nipo.

Maoni yenu wadau
 
Back
Top Bottom