Hapo patakuwa ni Far East Mashariki mwa Bara la Asia sijuwi kisiwa gani hicho ehhhhh. Tutajie basi kama unakujuwa Mkuu Red Giant Hatari watu wanaishi ndani ya maji Llo!!!!!!!!! Mungu mkubwa jamani.............
Hapo patakuwa ni Far East Mashariki mwa Bara la Asia sijuwi kisiwa gani hicho ehhhhh. Tutajie basi kama unakujuwa Mkuu Red Giant Hatari watu wanaishi ndani ya maji Llo!!!!!!!!! Mungu mkubwa jamani.............
hapo ni mingingo kwenye ziwa victoria. hako kakisiwa ndio kenya naaa uganda wanagombaniaHapo patakuwa ni Far East Mashariki mwa Bara la Asia sijuwi kisiwa gani hicho ehhhhh. Tutajie basi kama unakujuwa Mkuu Red Giant Hatari watu wanaishi ndani ya maji Llo!!!!!!!!! Mungu mkubwa jamani.............
hapo ni mingingo kwenye ziwa victoria. hako kakisiwa ndio kenya naaa uganda wanagombania
Migingo is a tiny 2,000-square-metre (0.49-acre; 0.20-hectare) island, about half the size of a football pitch, in Lake Victoria.
Hicho kisiwa Uganda wanadai chao na Kenya wanadai chao, ni wakati muafaka Tanzania tukichukuwe kuondoa utata.
utafikiri kwenye movie moja inaitwa waterworld ambayo dunia yote ilijaa maji. itafute ikusogezee wekeend. hako wanakagombania kama fishing post na kutengeneza boat.Kisiwa chenyewe kidogo kama unyayo wa mtu halafu wanakigombania??
utafikiri kwenye movie moja inaitwa waterworld ambayo dunia yote ilijaa maji. itafute ikusogezee wekeend. hako wanakagombania kama fishing post na kutengeneza boat.