Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,909
- 33,485
Ila hilo basi la dar express sijui kama tz kuna mazingira hayo hasa hiyo mitiHiyo ni stand ya mabasi ya Iringa mjini na ilikuwa 1981!
Ila hilo basi la dar express sijui kama tz kuna mazingira hayo hasa hiyo mitiHiyo ni stand ya mabasi ya Iringa mjini na ilikuwa 1981!
Hiyo pijo nyeupe ilikuwa ni taxi ya mjomba wangu!Kwanini iwe mwaka 1981 mkuu
Ilo game mkuuIla hilo basi la dar express sijui kama tz kuna mazingira hayo hasa hiyo miti
Hapo sawaIlo game mkuu
Miti hiyo ipo mkuuIla hilo basi la dar express sijui kama tz kuna mazingira hayo hasa hiyo miti
Iringa kama sijakosea!Hii inaweza kuwa miaka ya 1977-90.mikoa wowote!
Picha ya kwanza Iringa miaka ya 80' huko.
Uko sahihi hapo ni Iringa mjiniIringa hapo na lile ni catholic
I conquer with u broUko sahihi hapo ni Iringa mjini
Kanisa katoliki liko eneo la Mshindo hilo linaloonekana
Ghorofa upande wa kushoto ni jengo la ilipokuwa highland Cinema jirani na kwa akina Hans pope linatazamana na posta
Zilikuwa zinaitwa forofoo. Mfaransa huyo...na kuna kipindi zilikuwa zinatengenezewa hadi Nairobi-KenyaHii ni mwaka 79/80 ndiyo kulikuwa na mabasi hayo,oamoja na hizo peugeot 404 na 304
Huon hiyo picha ni B&W kama unazungumzia hiyo Dar express hapo chin hiyo ni Photoshop hajwahi kuleta gari ya aina hiyoKamera za rangi zilikuwepo miaka hiyo?
Magari zamani zilikuwa Peugeot, Renault,Ford,volxwagen, Land rover yaani make za ulaya tu zamani used car hakuna bongoKwa leo ndiyo tungesema Crown na Brevis
Bila kusahau Volvo nakumbuka hayati Aboud Jumbe alikuwa anatembelea hiyoMagari zamani zilikuwa Peugeot, Renault,Ford,volxwagen, Land rover yaani make za ulaya tu zamani used car hakuna bongo
johnthebaptist
Ova