Hapa ni tulie au nile kona.

Hapa ni tulie au nile kona.

Wewe mbugira mweupe Sana, taja mambo ya maana ambayo munaongea na bwanawako kilasiku ninyi wapenzi au Workmates hio kazini moaka ikulu watu wako na soft conco, jokes funny, mapenzi ni randomly convo unajifanya mjuaji kumbe mweupe kwa namna hio kila mwanaume utayekutongiza atakuoiganao na kukuacha Hell a you nikuulize baby umekula uniletee ujinga unataka nikuulize being za mazao sokoni acha ujinga wewehata mtu Kama aliamua kuwa serious na malengo na wewe ataliona hili demu vipi ngoja nichape tu.
Sasa ushasema mpenzi. Elewa kabla hujaanza kuropoka nyie ndo msiojua kutongoza mnaishia kubaka. Mimi nimeongelea mtu ndo kwanza anatongoza anaongea ujinga huo. Wakati mwanamke hamjui ana interest gani. Bwana em nenda usinichoshe mie sio wa age yako kumbe humo tuko na vitoto vinabalehe. We tafuta mwanamke anza kuongea nae habari za nikusugue mgongo wakati ndo kwanza umepata namba yake. Tofautisha kutongoza na mtu kuwa mpenzi. Wa hit and run mtapatana huko huko muambukizane gono usilazimishe kila mtu awe na akili za kipuuzi kama zako. Gentlemen washanielewa. Mbugira mwenyewe
 
Huu ndo ushauri sasa sio mtu anakuja ooh ndo kilichokupeleka chuo watu wanazini kanisani sembuse chuo.
 
Kabla ya party na kudance kila mtu alikuwa na maisha yake sasa ulichokiona kwenye status na kutokijibiwa sms zako ndo hayo maisha yake. Nakushauri usiingie mazima wala usijimilikishe, unachotakiwa kufanya ni kula mzigo kisha tembea tena sio kavukavu
 
Sasa ushasema mpenzi. Elewa kabla hujaanza kuropoka nyie ndo msiojua kutongoza mnaishia kubaka. Mimi nimeongelea mtu ndo kwanza anatongoza anaongea ujinga huo. Wakati mwanamke hamjui ana interest gani. Bwana em nenda usinichoshe mie sio wa age yako kumbe humo tuko na vitoto vinabalehe. We tafuta mwanamke anza kuongea nae habari za nikusugue mgongo wakati ndo kwanza umepata namba yake. Tofautisha kutongoza na mtu kuwa mpenzi. Wa hit and run mtapatana huko huko muambukizane gono usilazimishe kila mtu awe na akili za kipuuzi kama zako. Gentlemen washanielewa
Naona ushaanza kupata akili Sasa na kujua ulikuwa unachetua siku nyengine sio unaandikanujinga hapa nakudani kilamtu mjinga eti mpenzi uongee vitu serious wekuzi nini utaendelea kuchapwa mpaka unazeeka hakuna mwanaume anafagilia ujinga
 
Mnawapata kunguni wa design yenu usinichoshe mie. Yani unataka nikutumie picha za night dress ili iweje [emoji2374] hizo ataziona akiwa mkewe. mtu anaacha kukuuliza mipango ya maana mnawaza ngono tu. Wapo gentlemen ambao hawaulizi eti umevaa chupi rangi gani. Huo ni utoto. Eti nimeandika ujinga. Kama wewe ndo tabia yako utawapata hao wa kupiga na kusepa jinga nn.

Ndo nyie mnakuwaga mnawarubuni wadada eti nikupigie video call nikuone ukitoka hapo unaenda kupost picha zake za utupu kwa upuuzi wenu. Mambo ya kuongea ni mengi sio lazima eti uone mtu akitoka kuoga anakuwaje na ndo kwanza unamtongoza kha. Unauona ni ujinga kwasababu nimekugusa ndo tabia zenu za kijinga hizo.
Mumeo lazima anazilamba sana mbususu huko nje, wanaume hawataki userious kama wako.
 
Naona ushaanza kupata akili Sasa na kujua ulikuwa unachetua siku nyengine sio unaandikanujinga hapa nakudani kilamtu mjinga eti mpenzi uongee vitu serious wekuzi nini utaendelea kuchapwa mpaka unazeeka hakuna mwanaume anafagilia ujinga
Unadhani kila mtu humu mdangaji kama mama ako au. Ndo nakwambia utawapata hao hao wapuuzi wenzio. We dogo fala la mwisho. Design yenu mnakula block tu. Mnajifanyaga mbwembwe nyingi af kitandani holaa. Alokwambia mi saizi nasubiri wa kunitongoza nani unafikiri tuko humu tumekaa kaa tu hatuna familia. Bwege la mwisho hili toto mxiew. Eti hamna mwanaume anapenda ujinga. Ujinga si ndo huo unaoendekeza wewe. Kanyonye kwanza ndo uje kujibu comments ngedere
 
Mumeo lazima anazilamba sana mbususu huko nje, wanaume hawataki userious kama wako.
Kwani Anazilamba na kuzifungasha kuleta nyumbani? Si anazipiga na kuziacha huko huko nje sasa mi shida yangu nini🤣 wanafunzi wa chuo wanaliwa kama pipi ni kawaida wakifika 40 ndo wanakumbuka mashuka.
 
Gentlemen mnaojielewa sasa. Yani mwanamke ukimjulia mbona utaenda nae kama mlenda. Sasa kuanza na kuanza mtu anataka kupita na matairi wakati ndo kwanza kapewa lift. Awe patient tu
Baada ya nukta ya pili ndipo ushauri wako ulibidi uanzie ungeeleweka vizuri ila umeanza na nasaha ambazo kimsingi ni pumba tupu.
 
Baada ya nukta ya pili ndipo ushauri wako ulibidi uanzie ungeeleweka vizuri ila umeanza na nasaha ambazo kimsingi ni pumba tupu.
Dogo na matusi ushaanza au sio. Endelea naona washakupa kichwa. Kwa sura hiyo kwenye dp endelea kuwanywesha chai wanakuonea huruma tu kukwambia unapoteza mda. 🤣 eti pisi kali🤣
 
Kabla ya party na kudance kila mtu alikuwa na maisha yake sasa ulichokiona kwenye status na kutokijibiwa sms zako ndo hayo maisha yake. Nakushauri usiingie mazima wala usijimilikishe, unachotakiwa kufanya ni kula mzigo kisha tembea tena sio kavukavu
Noted mkuu.
 
Mi ni mwanafunzi wa chuo, juzi tarehe 05 kulikua na birthday ya binti flani ni rafiki/mwanachuo mwenzangu aliweka kiparty flani cha magumashi, sehemu aliyopanga kulikua na chumba tupu basi kakawa kama ka ukumbi fulani na party ikafanyikia mule ndani.

Sasa wakati party inaendelea walikuja rafiki wa huyo mwanafunzi mwenzangu wanasoma chuo tofauti na chetu but ni vyuo jirani, baada ya kulishana keki na mambo yote kuisha ikabidi upigwe mziki, wakati mziki unaendelea nikaomba kucheza na binti mmoja kati ya wale waliokuja toka chuo jirani kweli akanikubalia.

Tuliendelea kucheza kwa muda na jinsi tulivyo kuwa tunaendelea kucheza nilianza kuona hali tofauti kwa yule binti like hisia zikawa zinampanda basi nikajaribu kusogeza mdomo wangu karibu na wake nikakuta binti kaupokea na kuung'ang'ania akinipa denda fulani La hatari .

Hiyo hali iliendelea kwa muda mrefu yaani ikawa denda, ulimi masikioni, mitomaso ya maana, sasa nikazidisha uchokozi nikataka kupima oil, nikakuta mtoto ana pad ina maana simba alikua dimbani, dah pozi likakata maana nilishaona kabisa nakaribia kula tunda kimasihara.

Mpaka mida ya saa 7 hivi binti akawa amechoka anahisi usingizi akaniomba nimsindikize ghetto kwake ni karibu kabisa na pale kwenye party basi nikamsindikiza njiani akanitajia namba pia nikamuuliza palepale kama tunaweza endelea kudate akasema its okay, nikamfikisha ghetto kwake mi nikageuka kwenye party.

Mida ya saa nane party ikaisha tukageuka makwetu, kesho yake tarehe 06 tukawasiliana vizuri tu mchana kutwa but jioni nikamuuliza yule binti kama naweza kumtoa dinner akakubali but akanambia si unajua siko poa nikamwambia asijali ni suala la dinner tu sio kingine kweli nikampeleka sehemu tukala tuka enjoy ile time pamoja tukashare baadhi ya vitu ikawa siku nzuri sana nikamrudisha home fresh.

Jana tarehe 07 asubuhi tumewasiliana vizuri sana mchana pia tumewasiliana fresh jioni mida ya saa 18 akanipigia tukaongea kama dakika mbili nikamtania niko karibu ya mitaa yenu nikitegemea atasema anione but akajibu tu sawa then akaniambia yuko anapika atanicheki nikamwambia poa.

Mida ya saa tatu na nusu nikakuta bado yuko kimya nikamtext hakujibu saa nne nikamtext tena hakujibu nikatulia tu, mida ya saa tano akanicheki oh baby sorry kwa kuchelewa kujibu sikuhoji chochote nikamuuliza tu umekula akajibu yes nimekula basi tukaendelea kuchat mambo mengine baada ya muda akaweka status wako dinner somewhere like bar yenye restaurant halfu wamerecord video clip wapo mabinti wawili wasio onekana kwenye video but zinasikika sauti zao na mshkaji flani hivi inaonesha anapiga gambe pale na nyama choma ya kutosha nikamuuliza hii nini? Et sorry leo rafiki wa rafiki yangu ametutoa out but sorry sikukwambia dah ile ikanipa hofu why hakusema na alisema anapika na nilivyomwambia niko karibu na kwao hakuonesha kurespond vizuri.

Nikawaza ukute nilivyompata kirahisi ndivyo wengine wanampata kirahisi?

Sasa Wanangu niambieni hapa nionje mbususu then nipite hivi au nirisk kuwa na serious relationship na yeye maana pia ni pisi Kali kabisa yaani.
Sasa unauliza utulie kwani dem wako huyo?
Wewe atakua anakutafuta akiwa period.
 
Dogo na matusi ushaanza au sio. Endelea naona washakupa kichwa. Kwa sura hiyo kwenye dp endelea kuwanywesha chai wanakuonea huruma tu kukwambia unapoteza mda. [emoji1787] eti pisi kali[emoji1787]
Unajikuta uko serious ila kumbe unapenda baby face dah, sura ya dp imekushtua.
 
Mwanaume mzima ety umealikwa besidei....fakini kabisa.
Ni kweli wanaume huwa hatusheherekei besidei lakini huyo bado ni tegemezi kwa maana ya kwamba bado anasoma kwa hiyo usimuweke katika kundi la wanaume.

Halafu kwa maisha ya siku hizi vyuoni besdei ndo sehemu za vijana wanaoishi kwa bumu kupata mbususu kitonga. Akimaliza chuo ataacha mambo ya besdei.
 
Mjinga mama ako fala nini. Eti wakumuoa hawezi pata utasema unanijua. Mnalazimisha wote wawe na tope kichwani. ndo nyie mnajifanyaga vidume kwenye simu mechi sekunde 23. Mie sio mwenzio nshakwambia. Tafuta wa age yako. Humu jf kuna vikinda mmetoka kutairiwa mnakuja kuleta vidomo. Nyie wenye vimaswali hivyo mnachunwa mnaachwa wanakubaliwa walioonyooka. Mwanaume show chumbani sio story eboo
Sasa kama kichwan huna tope, matusi ya kuhusisha wazazi yameingiaje hapa?
 
Wazazi wanafanya biashara ya pata potea bila kupata, yaani wanauza ng'ombe ili wapeleke ng'ombe mwingine chuo
 
Back
Top Bottom