Mapenzi bana kilamtu ukimsikia utahisi ni kontawa fulani kwenye Mapenzi ila reality mbugira tu kwenye mahusianoPoleni sana,hawa madogo wanazingua sana mkuu,hapo mtoa mada ndio kwanza yupo first year tena Zoom College anamuuliza demu kuwa amekula wakati nae anapewa pocket money na shemeji yake
Usimuulize mpenzi wako umekula kisa mamayako hana mafuta, jifunze kuweka mipaka ya nafasi ya jambo wewe unazaliwa mpaka unafikia Hapo ushawai maliza shida zote za mamayako kwahiyo utakuwa single milele kisa mamko anashidaEndelea kumuuliza Malaya kama amekula na mamako nyumbani hana hata mafuta ya kupaka.
Kwa maelezo yako unaonesha hujui hata mahusiano ni Nini....unaposema kuwasiliana aangalie vitu serious Kama vipi awasiane kuhusu uwekezaji wa HISA Duniani au umeandika ujinga Hapo Sana wanawake dizaini yako ndio wauni wakiwa na nyie wanaamua wapige na kusepaMaswali ya umekula na uko wapi yalikua yananichoshaaaaa. Sijui What’s your favorite colour, umevaa nini hapo, nitumie picha yako ndani ya nightdress, au jitu linachat kwa sms unaliambia ntakuchek mida naenda kuoga linajibu eti nije nikusugue mgongo na hapo ndo kwanza kachukua namba af utafkiri linahesabu dakika ukitoka tu kuoga unakuta linapiga video call, usipopokea linakwambia eti hutaki nikuone mrembo. Kidogo niugeukie utawa🤣 Wakaka muwe mnachat vitu vya msingi na hao mnaowatongoza. Af muache ile tabia unampigia mtu asipopokea unajifanya kununa eboooo kwani ulinikuta nakusubiri wewe uje unitongoze. Hayo nliokwambia hapo juu usije kujaribu dogo utakimbiwa.
Nirudi kwenye mada. Usianze story za awe anakuomba sijui ruhusa sijui nini mtakorofishana. Give her space. Take time mambo yatajipa mdogo wangu. We like mystery sio mtu anakua predictable kama gari moshi unajua litapita njia hii. Mkianza kuwa serious na mahusiano ndo muwe hata mnapeana hizo updates mnazotaka. Sasa mtu unambana mwanzoni mbona anakukimbia
Piga mbususu uisasambue vyema haswaaa, ukikuta yaliyomo yamo liendeleze gurudumuSasa Wanangu niambieni hapa nionje mbususu then nipite hivi au nirisk kuwa na serious relationship na yeye maana pia ni pisi Kali kabisa yaani.
Sounds like una hekima. naomba upitie thread yangu unishauri kitu.Tunza hela ya boom kidogo kinachobaki mtaani kugumu na ajira hazipo na bado ukipata ajira maslahi madogo hautaweza timiza ndoto zako kirahisi .
Achana na habari za kumtoa mtu dinner na hela ya boom wakati kwenu neno dinner halipo ni habari za chakula cha jioni
Nisamehe nimeamua nikuchane mdogo wangu
Sasa kwa akili yako MTU mzima hajui kula mpaka aulizwe. Ujinga mtupu.Usimuulize mpenzi wako umekula kisa mamayako hana mafuta, jifunze kuweka mipaka ya nafasi ya jambo wewe unazaliwa mpaka unafikia Hapo ushawai maliza shida zote za mamayako kwahiyo utakuwa single milele kisa mamko anashida
Hizo ni convo za Mapenzi kawaida, emu niambie wewe aulize nini??Sasa kwa akili yako MTU mzima hajui kula mpaka aulizwe. Ujinga mtupu.
Wenzenu wanatafuna mizigo,nyie wapori pori mnajibebisha. Hahaaa....Hizo ni convo za Mapenzi kawaida, emu niambie wewe aulize nini??
Utatafuna Dunia yote au acha ujuaji wewe kutafuna unaina deal pesa yako tu unatafuna kilasiku Riverside nk ila serious relationship Ina misingi yake eti usimjari mpenzi wako kisa kwenu sio matajiri ujinga huoWenzenu wanatafuna mizigo,nyie wapori pori mnajibebisha. Hahaaa....
Mkuu si hayo ndo mambo ya vyuoni sasa...vitoto vimejaa upuuzi hadi vinachefuaWewe ni mjinga. Kwanza masomo ndiyo yalikupeleka chuo not huo upuuzi.
Kitendo cha kuuliza MTU mzima kama amekula ni upumbavu sio wa dunia hii...utakipata unachokitafuta. Mkitokea familia za kimaskini huko vyuoni mnajaa ulimbukeni sana.
Mwanaume mzima ety umealikwa besidei....fakini kabisa.
Maswali ya umekula na uko wapi yalikua yananichoshaaaaa. Sijui What’s your favorite colour, umevaa nini hapo, nitumie picha yako ndani ya nightdress, au jitu linachat kwa sms unaliambia ntakuchek mida naenda kuoga linajibu eti nije nikusugue mgongo na hapo ndo kwanza kachukua namba af utafkiri linahesabu dakika ukitoka tu kuoga unakuta linapiga video call, usipopokea linakwambia eti hutaki nikuone mrembo. Kidogo niugeukie utawa[emoji1787] Wakaka muwe mnachat vitu vya msingi na hao mnaowatongoza. Af muache ile tabia unampigia mtu asipopokea unajifanya kununa eboooo kwani ulinikuta nakusubiri wewe uje unitongoze. Hayo nliokwambia hapo juu usije kujaribu dogo utakimbiwa.
Nirudi kwenye mada. Usianze story za awe anakuomba sijui ruhusa sijui nini mtakorofishana. Give her space. Take time mambo yatajipa mdogo wangu. We like mystery sio mtu anakua predictable kama gari moshi unajua litapita njia hii. Mkianza kuwa serious na mahusiano ndo muwe hata mnapeana hizo updates mnazotaka. Sasa mtu unambana mwanzoni mbona anakukimbia
Mnawapata kunguni wa design yenu usinichoshe mie. Yani unataka nikutumie picha za night dress ili iweje 🤷🏽♀️ hizo ataziona akiwa mkewe. mtu anaacha kukuuliza mipango ya maana mnawaza ngono tu. Wapo gentlemen ambao hawaulizi eti umevaa chupi rangi gani. Huo ni utoto. Eti nimeandika ujinga. Kama wewe ndo tabia yako utawapata hao wa kupiga na kusepa jinga nn.Kwa maelezo yako unaonesha hujui hata mahusiano ni Nini....unaposema kuwasiliana aangalie vitu serious Kama vipi awasiane kuhusu uwekezaji wa HISA Duniani au umeandika ujinga Hapo Sana wanawake dizaini yako ndio wauni wakiwa na nyie wanaamua wapige na kusepa
Pole mkuu.Dada yangu alienda SAUT, Kwa kuendekeza besidei na bata akarudi ni SINGO MAZA. Wanachuo mattarr call yenu
Gentlemen mnaojielewa sasa. Yani mwanamke ukimjulia mbona utaenda nae kama mlenda. Sasa kuanza na kuanza mtu anataka kupita na matairi wakati ndo kwanza kapewa lift. Awe patient tuIn short dogo ametaka kujivusha level bila kufata hatua…..inatakiwa amjulie kwanza aki unlock code fulani then amtengenezee utegemezi fulani wa kitabia kama anataka kwenda nae extra miles.
Wewe mbugira mweupe Sana, taja mambo ya maana ambayo munaongea na bwanawako kilasiku ninyi wapenzi au Workmates hio kazini moaka ikulu watu wako na soft conco, jokes funny, mapenzi ni randomly convo unajifanya mjuaji kumbe mweupe kwa namna hio kila mwanaume utayekutongiza atakuoiganao na kukuacha Hell a you nikuulize baby umekula uniletee ujinga unataka nikuulize being za mazao sokoni acha ujinga wewehata mtu Kama aliamua kuwa serious na malengo na wewe ataliona hili demu vipi ngoja nichape tu.Mnawapata kunguni wa design yenu usinichoshe mie. Yani unataka nikutumie picha za night dress ili iweje 🤷🏽♀️ mtu anaacha kukuuliza mipango ya maana mnawaza ngono tu. Wapo gentlemen ambao hawaulizi eti umevaa chupi rangi gani. Huo ni utoto. Eti nimeandika ujinga. Kama wewe ndo tabia yako utawapata hao wa kupiga na kusepa jinga nn