Hapa ni tulie au nile kona.

Hapa ni tulie au nile kona.

Wewe ni mjinga. Kwanza masomo ndiyo yalikupeleka chuo not huo upuuzi.
Kitendo cha kuuliza MTU mzima kama amekula ni upumbavu sio wa dunia hii...utakipata unachokitafuta. Mkitokea familia za kimaskini huko vyuoni mnajaa ulimbukeni sana.
Mwanaume mzima ety umealikwa besidei....fakini kabisa.
Wabakora kabisa uyu
 
Wazazi wanafanya biashara ya pata potea bila kupata, yaani wanauza ng'ombe ili wapeleke ng'ombe mwingine chuo
Moja ya jukumu la msingi la mzazi ni kusomesha, nichukulie kama ng'ombe lakini wazazi wako proud na mm kuwa chuo kikuu coz wanaona many kids mazingira ya home ambao tulianza wote primary wakiwa hawajafika level hii so mapenzi yasikufanye uone mzazi anapoteza hela na ilihali kitaaluma sizingui.
 
Mjinga mama ako fala nini. Eti wakumuoa hawezi pata utasema unanijua. Mnalazimisha wote wawe na tope kichwani. ndo nyie mnajifanyaga vidume kwenye simu mechi sekunde 23. Mie sio mwenzio nshakwambia. Tafuta wa age yako. Humu jf kuna vikinda mmetoka kutairiwa mnakuja kuleta vidomo. Nyie wenye vimaswali hivyo mnachunwa mnaachwa wanakubaliwa walioonyooka. Mwanaume show chumbani sio story eboo
Rubbish
 
Moja ya jukumu la msingi la mzazi ni kusomesha, nichukulie kama ng'ombe lakini wazazi wako proud na mm kuwa chuo kikuu coz wanaona many kids mazingira ya home ambao tulianza wote primary wakiwa hawajafika level hii so mapenzi yasikufanye uone mzazi anapoteza hela na ilihali kitaaluma sizingui.
Aisee hii ng'ombe hasara tupu
 
Pisi uliyokutana nayo dancing floor sio ya kuichunguza sana, focus kwenye kuchakata.
 
La kuchapwa fimbo hili. Tena mkiwa mnalichapa niiteni nije nije na magogo naona fimbo hazitoshi. Lipo tu linajazwa ujinga na jenzie huku. Toto linalipiwa ada nyumbani lisome lenyewe linawaza ujinga utasema hata hiyo hela ya kula anajitaftia. Chapa hadi achanganyikiwe. Yani unalikung’uta na Litaungana kuchapwa pamoja na jinga jenzie Sea Beast. Mkikua mtaacha utoto pumbaf
Home wanataka ufaulu ndo furaha yao mambo ya ulikua unafanya nn chuo au hela tuliyokua tunakupa uliitumia vipi hayo hayawahusu mkuu.
 
Hapo huwi mshindi hadi ule mzigo.

Hakikisha umekula mzigo then jikate.

Atakutafuta yeye Sasa sio wewe halafu ringa kama anavyoringa
 
Home wanataka ufaulu ndo furaha yao mambo ya ulikua unafanya nn chuo au hela tuliyokua tunakupa uliitumia vipi hayo hayawahusu mkuu.
Kwa akili hizo wawe tu na wasiwasi. hamna kitu. Sikiliza kaka zako wanachokwambia we unaenda kujazwa ujinga na puuzi jenzio. Viboko mchapwe tu
 
Back
Top Bottom