Hapa ni tulie au nile kona.

Hapa ni tulie au nile kona.

Mwanamke kama anakupenda Kwa DHATI au umemvutia kiasi Fulani BAADA ya kuonana kwenye party au ulipopata mawasiliano yake ,ataweza kuonana na wewe,Mimi nakuhusia mpotezee because she is a golddigger atakuumiza mbeleni KIHISIA ni Bora uko concertrate na michongo yako au utafute Dems hoes I'm out
 
Madogo manao someaa IT Amozoni college ni changamoto wewe ni fuala
 
Et
Wewe ni mjinga. Kwanza masomo ndiyo yalikupeleka chuo not huo upuuzi.
Kitendo cha kuuliza MTU mzima kama amekula ni upumbavu sio wa dunia hii...utakipata unachokitafuta. Mkitokea familia za kimaskini huko vyuoni mnajaa ulimbukeni sana.
Mwanaume mzima ety umealikwa besidei....fakini kabisa.Eti mnaulizana “umekula” mmh 😂😂😂 someni tu aisee
 
Back
Top Bottom