Hapa ni tulie au nile kona.

Hapa ni tulie au nile kona.

Kula Kona tena tembea wima wima
 
Nina mdogo wangu wa kike na yeye alipofika chuoni kutoka kijijini alishadadia hizo besidei....wanaume wakamla weeee.....mwisho wa siku amedisko. Leo napata taarifa kwamba ameokotwa na kijana anayesomea uchungaji wa jeshi LA wokovu wamepelekana huko Nairobi.
So nafungua jf nipunguze stress napatana tena na huu upuuzi.
Poleni sana,hawa madogo wanazingua sana mkuu,hapo mtoa mada ndio kwanza yupo first year tena Zoom College anamuuliza demu kuwa amekula wakati nae anapewa pocket money na shemeji yake
 
Nina mdogo wangu wa kike na yeye alipofika chuoni kutoka kijijini alishadadia hizo besidei....wanaume wakamla weeee.....mwisho wa siku amedisko. Leo napata taarifa kwamba ameokotwa na kijana anayesomea uchungaji wa jeshi LA wokovu wamepelekana huko Nairobi.
So nafungua jf nipunguze stress napatana tena na huu upuuzi.
Ndo maana umekuja na povu sana, pole mkuu.
 
Tunza hela ya boom kidogo kinachobaki mtaani kugumu na ajira hazipo na bado ukipata ajira maslahi madogo hautaweza timiza ndoto zako kirahisi .

Achana na habari za kumtoa mtu dinner na hela ya boom wakati kwenu neno dinner halipo ni habari za chakula cha jioni

Nisamehe nimeamua nikuchane mdogo wangu
Noted.
 
Maswali ya umekula na uko wapi yalikua yananichoshaaaaa. Sijui What’s your favorite colour, umevaa nini hapo, nitumie picha yako ndani ya nightdress, au jitu linachat kwa sms unaliambia ntakuchek mida naenda kuoga linajibu eti nije nikusugue mgongo na hapo ndo kwanza kachukua namba af utafkiri linahesabu dakika ukitoka tu kuoga unakuta linapiga video call, usipopokea linakwambia eti hutaki nikuone mrembo. Kidogo niugeukie utawa🤣 Wakaka muwe mnachat vitu vya msingi na hao mnaowatongoza. Af muache ile tabia unampigia mtu asipopokea unajifanya kununa eboooo kwani ulinikuta nakusubiri wewe uje unitongoze. Hayo nliokwambia hapo juu usije kujaribu dogo utakimbiwa.

Nirudi kwenye mada. Usianze story za awe anakuomba sijui ruhusa sijui nini mtakorofishana. Give her space. Take time mambo yatajipa mdogo wangu. We like mystery sio mtu anakua predictable kama gari moshi unajua litapita njia hii. Mkianza kuwa serious na mahusiano ndo muwe hata mnapeana hizo updates mnazotaka. Sasa mtu unambana mwanzoni mbona anakukimbia
 
Mi ni mwanafunzi wa chuo, juzi tarehe 05 kulikua na birthday ya binti flani ni rafiki/mwanachuo mwenzangu aliweka kiparty flani cha magumashi, sehemu aliyopanga kulikua na chumba tupu basi kakawa kama ka ukumbi fulani na party ikafanyikia mule ndani.

Sasa wakati party inaendelea walikuja rafiki wa huyo mwanafunzi mwenzangu wanasoma chuo tofauti na chetu but ni vyuo jirani, baada ya kulishana keki na mambo yote kuisha ikabidi upigwe mziki, wakati mziki unaendelea nikaomba kucheza na binti mmoja kati ya wale waliokuja toka chuo jirani kweli akanikubalia.

Tuliendelea kucheza kwa muda na jinsi tulivyo kuwa tunaendelea kucheza nilianza kuona hali tofauti kwa yule binti like hisia zikawa zinampanda basi nikajaribu kusogeza mdomo wangu karibu na wake nikakuta binti kaupokea na kuung'ang'ania akinipa denda fulani La hatari .

Hiyo hali iliendelea kwa muda mrefu yaani ikawa denda, ulimi masikioni, mitomaso ya maana, sasa nikazidisha uchokozi nikataka kupima oil, nikakuta mtoto ana pad ina maana simba alikua dimbani, dah pozi likakata maana nilishaona kabisa nakaribia kula tunda kimasihara.

Mpaka mida ya saa 7 hivi binti akawa amechoka anahisi usingizi akaniomba nimsindikize ghetto kwake ni karibu kabisa na pale kwenye party basi nikamsindikiza njiani akanitajia namba pia nikamuuliza palepale kama tunaweza endelea kudate akasema its okay, nikamfikisha ghetto kwake mi nikageuka kwenye party.

Mida ya saa nane party ikaisha tukageuka makwetu, kesho yake tarehe 06 tukawasiliana vizuri tu mchana kutwa but jioni nikamuuliza yule binti kama naweza kumtoa dinner akakubali but akanambia si unajua siko poa nikamwambia asijali ni suala la dinner tu sio kingine kweli nikampeleka sehemu tukala tuka enjoy ile time pamoja tukashare baadhi ya vitu ikawa siku nzuri sana nikamrudisha home fresh.

Jana tarehe 07 asubuhi tumewasiliana vizuri sana mchana pia tumewasiliana fresh jioni mida ya saa 18 akanipigia tukaongea kama dakika mbili nikamtania niko karibu ya mitaa yenu nikitegemea atasema anione but akajibu tu sawa then akaniambia yuko anapika atanicheki nikamwambia poa.

Mida ya saa tatu na nusu nikakuta bado yuko kimya nikamtext hakujibu saa nne nikamtext tena hakujibu nikatulia tu, mida ya saa tano akanicheki oh baby sorry kwa kuchelewa kujibu sikuhoji chochote nikamuuliza tu umekula akajibu yes nimekula basi tukaendelea kuchat mambo mengine baada ya muda akaweka status wako dinner somewhere like bar yenye restaurant halfu wamerecord video clip wapo mabinti wawili wasio onekana kwenye video but zinasikika sauti zao na mshkaji flani hivi inaonesha anapiga gambe pale na nyama choma ya kutosha nikamuuliza hii nini? Et sorry leo rafiki wa rafiki yangu ametutoa out but sorry sikukwambia dah ile ikanipa hofu why hakusema na alisema anapika na nilivyomwambia niko karibu na kwao hakuonesha kurespond vizuri.

Nikawaza ukute nilivyompata kirahisi ndivyo wengine wanampata kirahisi?

Sasa Wanangu niambieni hapa nionje mbususu then nipite hivi au nirisk kuwa na serious relationship na yeye maana pia ni pisi Kali kabisa yaani.
Achana nae huo uzi sio,hao ndo wanakua na nyama ya sumu broo
 
Maswali ya umekula na uko wapi yalikua yananichoshaaaaa. Sijui What’s your favorite colour, umevaa nini hapo, nitumie picha yako ndani ya nightdress, au jitu linachat kwa sms unaliambia ntakuchek mida naenda kuoga linajibu eti nije nikusugue mgongo na hapo ndo kwanza kachukua namba af utafkiri linahesabu dakika ukitoka tu kuoga unakuta linapiga video call, usipopokea linakwambia eti hutaki nikuone mrembo. Kidogo niugeukie utawa[emoji1787] Wakaka muwe mnachat vitu vya msingi na hao mnaowatongoza. Af muache ile tabia unampigia mtu asipopokea unajifanya kununa eboooo kwani ulinikuta nakusubiri wewe uje unitongoze. Hayo nliokwambia hapo juu usije kujaribu dogo utakimbiwa.

Nirudi kwenye mada. Usianze story za awe anakuomba sijui ruhusa sijui nini mtakorofishana. Give her space. Take time mambo yatajipa mdogo wangu. We like mystery sio mtu anakua predictable kama gari moshi unajua litapita njia hii. Mkianza kuwa serious na mahusiano ndo muwe hata mnapeana hizo updates mnazotaka. Sasa mtu unambana mwanzoni mbona anakukimbia
Noted
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake 😅😅😅

Kama una hela ingia kwenye mashindano binti mwenyewe ataamua nani abaki nani atoke
Uzi ufungwe baada ya hii kauli. Bila pesa huwezi kudate na mwanachuo.
 
Back
Top Bottom