The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,454
- 20,857
Mdogo wangu hao mademu wa chuo, we kama unapewa mzigo kula usichunguze sana, tunakula kaka zenu ambao tuna hela lakini hatuna muda wa kuuza nao sura, we kula huyo aliyenaye ndio jamaa yake na anayemuwezesha ila anahitaji mtu kama wewe ili asionekane yupo single..
Mimi mwenyewe demu wangu wa UDSM najua kuna kajamaa kanalia mara hapewi mzigo, mara ameonekana na mimi n.k kila ikifika weekend ila siwezi kuingilia mahusiano yao hivyo huwa ninapiga kimya, labda kama kuna mwamba mwingine kama mimi hapo ndio atazinguliwa... kwa sababu ikifika ijumaa anaachiwa jumatatu, na text zake naziona nikiwa nae hajaribu kupiga hata simu
sasa sikia acha ufala utakuja kufeli shule kisa mwanamke ambaye hawezi kuwa level zako, huwezi kumuhudumia
Sponsor kama mimi mtoto analamba laki 2 Kwa mwezi hiyo allowance ya food, 50k nywele kila week 2, data 35k, dk 10k, bado hajataka ya kununua vinguo vyao cheap pale mwenge ukimpa laki anabeba furushi na bado hela nyingine ambazo hazina sababu kila tukionana...utaweza hayo?kama huwezi tulia kula mzigobujilie mema ya nchi ukitembea na vaseline yako