Ndio maana niliuliza makusudi mkuu ili nipate fair comparison/judgement.Walishaasi mafundisho ya Kristo miaka mingi tu hao
Sawa mkuu next time ukipata muda chambua na haya makanisa yetu ya kawaida ili tujue wapi pa kukimbilia.Ok sawa ndugu nimekuelewa.. Kuhusu kufeli kwa katoliki siwezi kulisemea kwakuwa halikuwa kichwani mwangu
Sawa mkuu next time ukipata muda chambua na haya makanisa yetu ya kawaida ili tujue wapi pa kukimbilia.
Nadhani wakatoliki walio na mawazo huru wanaweza kuja kujibu hili
Naongea kwa misingi ya biblia. Post ni njema wala haina shida, twabadilishana mitazamo. Mshike elimu ni suala binafsi, kanisa halikuwahi kupewa jukumu la kuelimisha watu kwa mambo ya kidunia.Tumeaswa kuitafuta elimu... Elimu ni dhana pana sana... Kile unachodhani ni uongo ndio kinaweza kuwa chenye ukweli wenye uhalisia mwingi ndani yake.. Lakini bado haimaanishi kwamba kwakuwa tu hukubaliani na nilichoandika basi post hii haina maana
Yote haya ni utaratibu wa binadamu katika kumtafuta Mungu... Ni creational ya kibinadamu hivyo ina mapungufu mengi... Kanisa la kweli ni wewe na Mungu wako tuu
Hapa umesema kweli tupu, christianity is not a group race ni individual race. Ni muhimu sana kujenga mahusiano baina ya mtu na Mungu, bali tukusanyikapo ni kwa ajili ya kuujengana kiroho, siyo kujadili biashara. Pia kila mmoja amepewa the great commission, kuihubiri injili.Yote haya ni utaratibu wa binadamu katika kumtafuta Mungu... Ni creational ya kibinadamu hivyo ina mapungufu mengi... Kanisa la kweli ni wewe na Mungu wako tuu

PACHAMAMA? hapana ni nani huyo?Hapa umesema kweli tupu, christianity is not a group race ni individual race. Ni muhimu sana kujenga mahusiano baina ya mtu na Mungu, bali tukusanyikapo ni kwa ajili ya kuujengana kiroho, siyo kujadili biashara. Pia kila mmoja amepewa the great commission, kuihubiri injili.
Hizi instituitional churches wala haikuwa msingi wa mafundisho ya Kristo, bali ni human creation. Hebu angalia tulikofika, umepata kumsikia PACHAMAMA?
Yesu awasamee tu sio siri
MIUJIZA ILI WATU WAAMINI YESU, hii ya huko kawe ni utapeli mtupu, watu waokoke waachane na manabii feki na masadukayo sijui maria yosesfo, ni ibada ya wafuDhima ya kanisa kama taasisi yenye kutoa tumaini kwa waliokata tamaa, wahitaji wa ujenzi wa kiroho ili kuweza kuwa na imani thabiti juu ya kile wanachohubiriwa na kukiamini
Kanisa ni sehemu ya jamii na ni jamii yenye wanadamu... Viumbe wa mwili wenye nyama... Mwili huu wenye nyama ni muunganiko wake na roho... Hivyo basi kanisa kama taasisi ya kiimani haipaswi kushughulika na roho tu bali na mwili pia... Huwezi ukashughulika na kimoja na kuacha kingine na bado ukadhani unatenda kwa ukamilifu.... Utakuwa umekengeuka...!
. Kanisa lina dhima ya kutoa chakula cha kiroho lakini pia na chakula cha kimwili
. Kanisa lina dhima ya kutoa uponyani wa kiroho lakini na wa kimwili pia
. Kanisa lina dhima ya kutoa elimu ya kiroho lakini na ya kidunia pia
. Kanisa lina dhima ya kusaidia matatizo yote ya kiroho lakini na ya kimwili pia
Hili litawezekanaje?
Huyu unayetarajia kumlisha chakula cha kiroho hakikisha kabla hajapata hicho cha kiroho amepata cha kimwili... Hivyo mjengee mazingira na uwezo ili aweze kujihudumia kimwili...
Huyu unayetarajia kumpa uponyaji wa kiroho... Msaidie kwanza apate uponyaji wa kimwili kwa kuwekeza kwenye Huduma za afya na vifaa tiba, hospital, na vituo vya afya
Huyu unayetarajia kumpa elimu ya kiroho.... Msaidie aelimike kiakili kwanza kwa kuwekeza kwenye elimu, shule vyuo na taasisi za kielimu.. Kwa njia hii ataweza kujihudumia kimwili.....
Huyu unayetarajia kumsaidia kiroho msaidie kwa kuwekeza kwenye vituo vya yatima wajane na wasiojiweza.....
Je makanisa haya ya watu binafsi... Yanayojulikana kama ya kiroho yanafanya yote haya ama yameweke tu kiroho kwa kufanya miujiza yenye harufu ya utapeli, wizi na mambo ya kishirikina? Kishapo matoleo ya waumini masikini kutumika kutimiza matakwa ya mwili na tamaa za kidunia zilizopiliza?
They are failing big time... Huruma ni kwa hao waamini na waumini wao
Nadhani ungeyatoa makanisa yenye mfumo wa kitasisi ambayo yapo beyond what you are arguing.Dhima ya kanisa kama taasisi yenye kutoa tumaini kwa waliokata tamaa, wahitaji wa ujenzi wa kiroho ili kuweza kuwa na imani thabiti juu ya kile wanachohubiriwa na kukiamini
Kanisa ni sehemu ya jamii na ni jamii yenye wanadamu... Viumbe wa mwili wenye nyama... Mwili huu wenye nyama ni muunganiko wake na roho... Hivyo basi kanisa kama taasisi ya kiimani haipaswi kushughulika na roho tu bali na mwili pia... Huwezi ukashughulika na kimoja na kuacha kingine na bado ukadhani unatenda kwa ukamilifu.... Utakuwa umekengeuka...!
. Kanisa lina dhima ya kutoa chakula cha kiroho lakini pia na chakula cha kimwili
. Kanisa lina dhima ya kutoa uponyani wa kiroho lakini na wa kimwili pia
. Kanisa lina dhima ya kutoa elimu ya kiroho lakini na ya kidunia pia
. Kanisa lina dhima ya kusaidia matatizo yote ya kiroho lakini na ya kimwili pia
Hili litawezekanaje?
Huyu unayetarajia kumlisha chakula cha kiroho hakikisha kabla hajapata hicho cha kiroho amepata cha kimwili... Hivyo mjengee mazingira na uwezo ili aweze kujihudumia kimwili...
Huyu unayetarajia kumpa uponyaji wa kiroho... Msaidie kwanza apate uponyaji wa kimwili kwa kuwekeza kwenye Huduma za afya na vifaa tiba, hospital, na vituo vya afya
Huyu unayetarajia kumpa elimu ya kiroho.... Msaidie aelimike kiakili kwanza kwa kuwekeza kwenye elimu, shule vyuo na taasisi za kielimu.. Kwa njia hii ataweza kujihudumia kimwili.....
Huyu unayetarajia kumsaidia kiroho msaidie kwa kuwekeza kwenye vituo vya yatima wajane na wasiojiweza.....
Je makanisa haya ya watu binafsi... Yanayojulikana kama ya kiroho yanafanya yote haya ama yameweke tu kiroho kwa kufanya miujiza yenye harufu ya utapeli, wizi na mambo ya kishirikina? Kishapo matoleo ya waumini masikini kutumika kutimiza matakwa ya mwili na tamaa za kidunia zilizopiliza?
They are failing big time... Huruma ni kwa hao waamini na waumini wao
Dhima ya kanisa kama taasisi yenye kutoa tumaini kwa waliokata tamaa, wahitaji wa ujenzi wa kiroho ili kuweza kuwa na imani thabiti juu ya kile wanachohubiriwa na kukiamini
Kanisa ni sehemu ya jamii na ni jamii yenye wanadamu... Viumbe wa mwili wenye nyama... Mwili huu wenye nyama ni muunganiko wake na roho... Hivyo basi kanisa kama taasisi ya kiimani haipaswi kushughulika na roho tu bali na mwili pia... Huwezi ukashughulika na kimoja na kuacha kingine na bado ukadhani unatenda kwa ukamilifu.... Utakuwa umekengeuka...!
. Kanisa lina dhima ya kutoa chakula cha kiroho lakini pia na chakula cha kimwili
. Kanisa lina dhima ya kutoa uponyani wa kiroho lakini na wa kimwili pia
. Kanisa lina dhima ya kutoa elimu ya kiroho lakini na ya kidunia pia
. Kanisa lina dhima ya kusaidia matatizo yote ya kiroho lakini na ya kimwili pia
Hili litawezekanaje?
Huyu unayetarajia kumlisha chakula cha kiroho hakikisha kabla hajapata hicho cha kiroho amepata cha kimwili... Hivyo mjengee mazingira na uwezo ili aweze kujihudumia kimwili...
Huyu unayetarajia kumpa uponyaji wa kiroho... Msaidie kwanza apate uponyaji wa kimwili kwa kuwekeza kwenye Huduma za afya na vifaa tiba, hospital, na vituo vya afya
Huyu unayetarajia kumpa elimu ya kiroho.... Msaidie aelimike kiakili kwanza kwa kuwekeza kwenye elimu, shule vyuo na taasisi za kielimu.. Kwa njia hii ataweza kujihudumia kimwili.....
Huyu unayetarajia kumsaidia kiroho msaidie kwa kuwekeza kwenye vituo vya yatima wajane na wasiojiweza.....
Je makanisa haya ya watu binafsi... Yanayojulikana kama ya kiroho yanafanya yote haya ama yameweke tu kiroho kwa kufanya miujiza yenye harufu ya utapeli, wizi na mambo ya kishirikina? Kishapo matoleo ya waumini masikini kutumika kutimiza matakwa ya mwili na tamaa za kidunia zilizopiliza?
They are failing big time... Huruma ni kwa hao waamini na waumini wao
Huyu hapa, Mungu wa makabila ya Amazon, ambaye amekubaliwa rasmi kanisani.PACHAMAMA? hapana ni nani huyo?
Business modelNadhani ungeyatoa makanisa yenye mfumo wa kitasisi ambayo yapo beyond what you are arguing.
Mfano makanisa ambayo yapo kitasisi zaidi
1. Romani catholic
2. Ruthelan church
3. Seventhday Adventist church
4. Anglican church
Haya makanisa yapo very organized na utaona yanahudumia nyanja zote
Kwanza yana mfumo wa kiuongoz
Pili yana mfumo wa namna ya mapato yanavyo ingia na kutoka
Na yanasimamia mambo matatu
1. Kiroho
Hapa unaongelea wachungaji,mapadre na maaskofu katika mifumo yao na jukumu kubwa ni kulisha chakula cha kiroho (wao wanakuwa daraja kuwavusha watukwenda kwenye tumaini.
2. Kijamii
Wana hospital, mashule,vyuo, vituo vya watoto yatima, ngo za kusaidia watu katika maafa.
3. Socially kijamii
Hii inakuja ku onya kushauri na kukemea mambo yahusuyo jamiii na hapa serikali inaingia pia ni wajibu wa viongoz wa kidini kukemea bila kubagua kwasababu wao watu wote ni wao.
Sasa ukiweka vikanisa ambavyo havina mifumo utakuwa upo nje ya uelewa.
Mfano Gwajima
Yeye mchungaji
Mkewe muweka hazina
Watoto kama wapo mashemas
Fedha nani anazicontrol yaani ni kanisa la familia.