Hapa ndipo yanapofeli makanisa ya kiroho

Mshana jr spiritual protocol ya kupokea ni kutoa, the more you give the more you receive especially when you give to the less privilage people Luka 6:38
Hii sheria naonaga wamebadilisha wameona wao hawana obligation na wamesahau baraka huambatana na laana. Badala yake wanaeneza chuki kwa T B Joshua badala ya kujifunza na kufanyia kazi.
Angalia pamoja na idadi kubwa ya makanisa bado maasi yameongezeka mana tuna muita Mungu mdomoni na sio kutoka moyoni.

. Kanisa lina dhima ya kutoa chakula cha kiroho lakini pia na chakula cha kimwili
. Kanisa lina dhima ya kutoa uponyani wa kiroho lakini na wa kimwili pia
. Kanisa lina dhima ya kutoa elimu ya kiroho lakini na ya kidunia pia
. Kanisa lina dhima ya kusaidia matatizo yote ya kiroho lakini na ya kimwili pia
Mi sijaelewa, TB Joshua kafanyaje?
 
Dhima ya kanisa kama taasisi yenye kutoa tumaini kwa waliokata tamaa, wahitaji wa ujenzi wa kiroho ili kuweza kuwa na imani thabiti juu ya kile wanachohubiriwa na kukiamini
Kanisa ni sehemu ya jamii na ni jamii yenye wanadamu... Viumbe wa mwili wenye nyama... Mwili huu wenye nyama ni muunganiko wake na roho... Hivyo basi kanisa kama taasisi ya kiimani haipaswi kushughulika na roho tu bali na mwili pia... Huwezi ukashughulika na kimoja na kuacha kingine na bado ukadhani unatenda kwa ukamilifu.... Utakuwa umekengeuka...!

. Kanisa lina dhima ya kutoa chakula cha kiroho lakini pia na chakula cha kimwili
. Kanisa lina dhima ya kutoa uponyani wa kiroho lakini na wa kimwili pia
. Kanisa lina dhima ya kutoa elimu ya kiroho lakini na ya kidunia pia
. Kanisa lina dhima ya kusaidia matatizo yote ya kiroho lakini na ya kimwili pia

Hili litawezekanaje?
Huyu unayetarajia kumlisha chakula cha kiroho hakikisha kabla hajapata hicho cha kiroho amepata cha kimwili... Hivyo mjengee mazingira na uwezo ili aweze kujihudumia kimwili...
Huyu unayetarajia kumpa uponyaji wa kiroho... Msaidie kwanza apate uponyaji wa kimwili kwa kuwekeza kwenye Huduma za afya na vifaa tiba, hospital, na vituo vya afya
Huyu unayetarajia kumpa elimu ya kiroho.... Msaidie aelimike kiakili kwanza kwa kuwekeza kwenye elimu, shule vyuo na taasisi za kielimu.. Kwa njia hii ataweza kujihudumia kimwili.....
Huyu unayetarajia kumsaidia kiroho msaidie kwa kuwekeza kwenye vituo vya yatima wajane na wasiojiweza.....

Je makanisa haya ya watu binafsi... Yanayojulikana kama ya kiroho yanafanya yote haya ama yameweke tu kiroho kwa kufanya miujiza yenye harufu ya utapeli, wizi na mambo ya kishirikina? Kishapo matoleo ya waumini masikini kutumika kutimiza matakwa ya mwili na tamaa za kidunia zilizopiliza?
They are failing big time... Huruma ni kwa hao waamini na waumini wao
Bro Mshana,

Kwenye makanisa yetu, huduma za kimwili zinakuja mara nyingi baada ya zile za kiroho.Hii inatokana na maana ya Imani(Waebrania 11:1), kwamba unaamini/unakua na uhakika wa kula/kusoma/kupona hata kama hauoni dalili za kula/kusoma/kupona.Kwa kifupi tunahubiriwa kuwa mafanikio ya kiroho yanaleta mafanikio ya kimwili.Ukiwa na imani ya kutokulala njaa basi hutolala njaa.
 
Hujasomeka.
Lakini pia if is business mode umeona misikiti ya watu? Yaani wakitoa swadaka inabakia kwa mhusika
Sijakuelewa pia unamaanisha nini. Kanisa katoliki limekaa kwa mfumo wa faida za kidunia kuliko kufikiria kwenda mbinguni. Liko mbali na mission ya Yesu Kristu.
 
Chambua yote yaliyokaa kitaasisi
 
Dhima ya kanisa kama taasisi yenye kutoa tumaini kwa waliokata tamaa, wahitaji wa ujenzi wa kiroho ili kuweza kuwa na imani thabiti juu ya kile wanachohubiriwa na kukiamini
Kanisa ni sehemu ya jamii na ni jamii yenye wanadamu... Viumbe wa mwili wenye nyama... Mwili huu wenye nyama ni muunganiko wake na roho... Hivyo basi kanisa kama taasisi ya kiimani haipaswi kushughulika na roho tu bali na mwili pia... Huwezi ukashughulika na kimoja na kuacha kingine na bado ukadhani unatenda kwa ukamilifu.... Utakuwa umekengeuka...!

. Kanisa lina dhima ya kutoa chakula cha kiroho lakini pia na chakula cha kimwili
. Kanisa lina dhima ya kutoa uponyani wa kiroho lakini na wa kimwili pia
. Kanisa lina dhima ya kutoa elimu ya kiroho lakini na ya kidunia pia
. Kanisa lina dhima ya kusaidia matatizo yote ya kiroho lakini na ya kimwili pia

Hili litawezekanaje?
Huyu unayetarajia kumlisha chakula cha kiroho hakikisha kabla hajapata hicho cha kiroho amepata cha kimwili... Hivyo mjengee mazingira na uwezo ili aweze kujihudumia kimwili...
Huyu unayetarajia kumpa uponyaji wa kiroho... Msaidie kwanza apate uponyaji wa kimwili kwa kuwekeza kwenye Huduma za afya na vifaa tiba, hospital, na vituo vya afya
Huyu unayetarajia kumpa elimu ya kiroho.... Msaidie aelimike kiakili kwanza kwa kuwekeza kwenye elimu, shule vyuo na taasisi za kielimu.. Kwa njia hii ataweza kujihudumia kimwili.....
Huyu unayetarajia kumsaidia kiroho msaidie kwa kuwekeza kwenye vituo vya yatima wajane na wasiojiweza.....

Je makanisa haya ya watu binafsi... Yanayojulikana kama ya kiroho yanafanya yote haya ama yameweke tu kiroho kwa kufanya miujiza yenye harufu ya utapeli, wizi na mambo ya kishirikina? Kishapo matoleo ya waumini masikini kutumika kutimiza matakwa ya mwili na tamaa za kidunia zilizopiliza?
They are failing big time... Huruma ni kwa hao waamini na waumini wao
Kimwili wanafanikiwa kiroho wanafeli.

Makanisa mengi ya kiroho mikoani huko unakuta waumini wanaspend a lot of time makanisani. Muda wa kuzalisha mali hawana na mwisho wa siku wanabakia na umasikini uliotukuka wakati wazee wao wa kanisa wanakuwa matajiri.

Maisha ni vile tu unavyotaka yawe, ukitaka kuwa kichwa unakuwa, ukitaka kuwa mkia unakuwa.
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Ni kweli mkuu, madhehebu yenye mfuml wa taasisi kama KKT, ANGLICAN, MORAVIAN n.k. yamejikita kujenga ufalme wa duniani. Hil hsliko kwenye dhehebu moja tu

Kuna sehemu unafeli sana hasa kulingana na hoja ya mtoa hoja hapo juu.
Makanisa mengi yameibuka yamekuwa ya watu na ndio maana wengi wanayakimbilia wasijue source of faith ni wapi.
Nikaja kukujuza kwamba kama ndivyo ni vema serikali ikalazimisha makanisa yawe ya kitaasisi sio mifumo yaliyonayo sasa.
 
Serikali haina uwezo wa kuyapa maelekezo makanisa, ndio maana matokeo yake tumepata mifumo ya kikanisa. Makanisa yanapaswa kushughulika na roho, serikali zinashughulika na mwili.

Makanisa kuwa ya watu ni kweli tupu, labda usichojua ni kuwa mimi siko hapa kutetea makanisa. Narudia tena, ukristo ni mbio binafsi, hatuende mbinguni kama taasisi.

Mtoa mada kutaka makanisa yaisimamie serikali kwenye siasa ni kuacha jukumu lao la msingi. Labda unionyeshe sehemu moja tu ambapo Yesu alisimamia siasa.
 
Back
Top Bottom