papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,310 Reaction score 1,967 Feb 6, 2026 #1 Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante Attachments 20260206_173605.jpg 303.9 KB · Views: 42
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,220 Reaction score 102,333 Feb 6, 2026 #3 mwaibile said: Huwezi Click to expand... What does tha number signify
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,220 Reaction score 102,333 Feb 6, 2026 #4 mwaibile said: Huwezi Click to expand... Explaining Numbers and IDs on a SIM CardGoogle hiyo ina taarifa zote
mwaibile said: Huwezi Click to expand... Explaining Numbers and IDs on a SIM CardGoogle hiyo ina taarifa zote
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 10,224 Reaction score 14,937 Feb 6, 2026 #5 papag said: Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante Click to expand... Weka line kwenye Simu hapo utapata
papag said: Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante Click to expand... Weka line kwenye Simu hapo utapata
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,396 Reaction score 195,226 Feb 8, 2026 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 12,656 Reaction score 21,458 Feb 8, 2026 #7 Bongo huwezi
Bodega JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 206 Reaction score 351 Feb 8, 2026 #8 papag said: Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante Click to expand... Huwezi, hizo ni serial no. za line, na zina maana, hio 89 inamaanisha hio ni telecom sim card, line zote lazma zianze na 89, hio 255 ni country code Tanzania, inafuata code ya mtandao kama airtel voda tigo, inafuata unique code kwa kila line
papag said: Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante Click to expand... Huwezi, hizo ni serial no. za line, na zina maana, hio 89 inamaanisha hio ni telecom sim card, line zote lazma zianze na 89, hio 255 ni country code Tanzania, inafuata code ya mtandao kama airtel voda tigo, inafuata unique code kwa kila line