Hapa mwanaume kaitendea haki shughuli hii?

Nakubaliana nawewe kwenye ishu ya michango.

Kwa upande mwingine unatakiwa ujue kwamba hakuna kilichofeli kama taasisi ya ndoa hususani Ulaya.

It is the most stupid institution so far
Ndoa ni nyinyi wawili, kama mahari imelipwa, lazima mheshimu wazazi, misa ya asubuhi na mashahidi wenu inatosha angalau hamwishi kwenye dhambi.
 
Nakubaliana nawe kuhusu kufeli kwa hii institution hasa kwenye nchi za magharibi na sasa wengi hawazitaki ndoa wanachukuana tu ama wanakuwa na ndoa zao ambazo kwa kweli hazikidhi ile definition ya ndoa ya miaka ya nyuma.

Nakubaliana nawewe kwenye ishu ya michango.

Kwa upande mwingine unatakiwa ujue kwamba hakuna kilichofeli kama taasisi ya ndoa hususani Ulaya.

It is the most stupid institution so far
 
Nakubaliana nawe kuhusu kufeli kwa hii institution hasa kwenye nchi za magharibi na sasa wengi hawazitaki ndoa wanachukuana tu ama wanakuwa na ndoa zao ambazo kwa kweli hazikidhi ile definition ya ndoa ya miaka ya nyuma.
Kitu ambacho nimekuja kugundua ni kwamba hakuna jamii yenye maadili kama waafrika.

Wenzetu wazungu wamefeli kupita maelezo ndo maana wanakuja na solutions ambazo zinahatarisha au kurahisisha ubomoaji wa taasisi ya ndoa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapo kwenye bold Mkuu wenyewe watakwambia ni haki za kibinadamu na ni maendeleo kumbe ni upunguani tena wa hali ya juu.

Naishi nao, nawafahamu kiundani. Nimeanza kuwashauri wasipoteze muda kwenda kujifanya wamisionari na wahubiri Afrika maana wakati huku kwao ndo wamekengeuka kupita maelezo
 
Kitu kimoja ni kuwa, wale wanaweza kuishi boy friend na boy friend mpaka wanapata wajukuu, na wenyewe wanasema ni partner, kama mnaaminiana yanini kupoteza pesa kwenye harusi?
 
Mbona walishapita hiyo stage, umissionary wametuachia sisi, wao wako katika kutengeneza rockets.
 
Kitu kimoja ni kuwa, wale wanaweza kuishi boy friend na boy friend mpaka wanapata wajukuu, na wenyewe wanasema ni partner, kama mnaaminiana yanini kupoteza pesa kwenye harusi?
Sawa ila ingekuwa Afrika sasa. Mara oh ndoa haitambuliki, mara ndoa za kimila hazina baraka mbele za Mungu upuuzi mtupu
 
Matatizo sisi shangazi, mjomba, baba mdogo, wote wana say katika maisha yako.
 
Hilo la kuishi pamoja huku wakifyatua watoto na wakati mwingine hata kuacquire assets mbali mbali ikiwemo nyumba, bahati nzuri ni kwamba Serikali zao zimeweka sheria kwamba wakiishi pamoja kwa miezi sita mfululizo, kama sikosei, tayari wanahesabika kama mke na mume. Hivyo wanapohitilafiana na kuamua kutengana kama kuna mali zozote walizochuma wakiwa pamoja basi mgawanyo huwa ni pasu kwa pasu.

Kitu kimoja ni kuwa, wale wanaweza kuishi boy friend na boy friend mpaka wanapata wajukuu, na wenyewe wanasema ni partner, kama mnaaminiana yanini kupoteza pesa kwenye harusi?
 
Niliwahi kuona harusi baada ya bomani kwa mkuu wa wilaya walikwenda bar moja ya karibu, bibi harusi na shela. Pale bar waliwekewa meza yao na ilihudumiwa bill mwisho wa shere walilipa yote, wengine wote walijinunulia bia na mziki walicheza. Simple, hakuna michango, harusi yangu karibu uje na kama 20,000 ya chakula na vinywaji.
Harusi yako itakuwa tarehe na mwaka gani
 
Back
Top Bottom