Hapa mwanaume kaitendea haki shughuli hii?

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Huyu ni bwana harusi na pamba yake ya shughuli.
1470040138438.jpg
 
Aliitendea haki, hakutaka unafiki amevaa nguo ambazo yuko comfortable nazo. Tena amefanya shopping, huoni pensi ni mpya, shati jipya hata sandals ni mpya.
 
safi sana coz mambo mengine ni kupeana stress za budget wkt shughuli kamili ni kiapo tu
 
Niliwahi kuona harusi baada ya bomani kwa mkuu wa wilaya walikwenda bar moja ya karibu, bibi harusi na shela. Pale bar waliwekewa meza yao na ilihudumiwa bill mwisho wa shere walilipa yote, wengine wote walijinunulia bia na mziki walicheza. Simple, hakuna michango, harusi yangu karibu uje na kama 20,000 ya chakula na vinywaji.
 
Bi Harusi ana nasaba za kichaga?
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni uchokozi wa hali ya juu kabisa tena wakuvunjana mbavu na firigisi
 
Harusi
Niliwahi kuona harusi baada ya bomani kwa mkuu wa wilaya walikwenda bar moja ya karibu, bibi harusi na shela. Pale bar waliwekewa meza yao na ilihudumiwa bill mwisho wa shere walilipa yote, wengine wote walijinunulia bia na mziki walicheza. Simple, hakuna michango, harusi yangu karibu uje na kama 20,000 ya chakula na vinywaji.
Harusi Yako lini?!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ni uchokozi wa hali ya juu kabisa tena wakuvunjana mbavu na firigisi
Hahaha
 
Wazungu wengi hawana makuu kwenye harusi zao. Huwa wanachukua few close friends kwenye harusi zao kisha kuenda hata park kupiga picha mbili tatu kwa ajili ya ukumbusho. harusi tayari. Wabongo siye michango ya mamilioni na tena kuna kiwango cha chini cha kuchanga vinginevyo hupati mwaliko. Wakati umefika sasa wa kugomea michango ya harusi ili harusi zetu nazo ziwe za gharama nafuu badala ya mamilioni au hata mabilioni.

Huyu ni bwana harusi na pamba yake ya shughuli.
View attachment 374334
 
Wazungu wengi hawana makuu kwenye harusi zao. Huwa wanachukua few close friends kwenye harusi zao kisha kuenda hata park kupiga picha mbili tatu kwa ajili ya ukumbusho. harusi tayari. Wabongo siye michango ya mamilioni na tena kuna kiwango cha chini cha kuchanga vinginevyo hupati mwaliko. Wakati umefika sasa wa kugomea michango ya harusi ili harusi zetu nazo ziwe za gharama nafuu badala ya mamilioni au hata mabilioni.
Tena bibi harusi gauni anatafua ebay, charity shops, anaweka kukuambia gauni nimenunua laki mbili nanusu, na recemption yetu itagharimu milioni tatu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wazungu wengi hawana makuu kwenye harusi zao. Huwa wanachukua few close friends kwenye harusi zao kisha kuenda hata park kupiga picha mbili tatu kwa ajili ya ukumbusho. harusi tayari. Wabongo siye michango ya mamilioni na tena kuna kiwango cha chini cha kuchanga vinginevyo hupati mwaliko. Wakati umefika sasa wa kugomea michango ya harusi ili harusi zetu nazo ziwe za gharama nafuu badala ya mamilioni au hata mabilioni.
Nakubaliana nawewe kwenye ishu ya michango.

Kwa upande mwingine unatakiwa ujue kwamba hakuna kilichofeli kama taasisi ya ndoa hususani Ulaya.

It is the most stupid institution so far
 
Back
Top Bottom