Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,549
Haha kitu flat screen nomaBi Harusi ana nasaba za kichaga?
Haha kitu flat screen nomaBi Harusi ana nasaba za kichaga?
Tutamfuata hukohukoMikwara tu, si unaona ameshatangulia Dodoma
Yes huoni umbo kama wale wa kilemaBi Harusi ana nasaba za kichaga?
Bado hujaolewa?? Kumbe naweza pata mke.Niliwahi kuona harusi baada ya bomani kwa mkuu wa wilaya walikwenda bar moja ya karibu, bibi harusi na shela. Pale bar waliwekewa meza yao na ilihudumiwa bill mwisho wa shere walilipa yote, wengine wote walijinunulia bia na mziki walicheza. Simple, hakuna michango, harusi yangu karibu uje na kama 20,000 ya chakula na vinywaji.
Kwani anauzwa???Tena kwa bei nafuu sana. Wahi wakati ni sasa
Ndio mkuu..kibongo bongo ni mwendo wa maigizo..kuanzia suti, shela hadi sherehe yenyewe maigizo ndo mana wengi baada ya sherehe ya harusi huishia kwenye madeni.Ahhh. Unamaanisha yetu ni maigizo hahha
Kama umepania hviKitu kimoja ni kuwa, wale wanaweza kuishi boy friend na boy friend mpaka wanapata wajukuu, na wenyewe wanasema ni partner, kama mnaaminiana yanini kupoteza pesa kwenye harusi?
za kichaga ndio zikoje?Bi Harusi ana nasaba za kichaga?
wala hujakosea mkuu, great great parents wao walihamia Rombo zamani sana baadae walifungua kituo cha masomo ya jioni, ila somo kubwa priority( general family budjet) a.k.a ubahili. walikua walimu wazuri ila wapare waliwazidi wachaga maksi kila wakati. kwa hiyo wala usiwashangae hao wazungu. ni budjet pia. hongera babu na bibi yao.Bi Harusi ana nasaba za kichaga?