jf na wanacdm ndo wamechangia kupanda chati kwa kijana mwigulu.ilikua ni kumsema daily,kumbe ndio wanamfagilia.
Na hiyo ilitokana na uchaguzi wa igunga na peformance yake kwenye bunge la bajeti iliyowafanya cdm wamchukie kwelikweli.
Kwa kweli khs kumu-undermine Mwigulu namna hiyo nafikiri unakosea sana, umechambua vizuri ila hapo umekosea sana kwa sababu huyo bwana anachukiwa na upinzani kwa ajili ya kuwapa vidonge vyao sio kila mtu anaona Mwigulu anaongea pumba, kawasome vizuri wapiga kura kaka.
Unajua wapo wengi humu ambao wataona kumjadili Nchemba au wengine kama wabovu ni wivu na mambo kama hayo; Wapo sahihi iwapo kwa watu hawa kuteuliwa nafasi kama hizi ni KUULA, kwani magazeti mengi yanaweka vichwa vya habari fulani na fulani WAULA; Kwa mentality kwamba kupewa kazi ya umma ni kwenda kula, basi kupinga hoja zetu kwamba viongozi kama kina nchemba wabovu ni hoja zenye mashiko, lakini hoja zao zitakuwa ni za ovyo iwapo kazi hizi za umma ni za kwenda kutumikia nchi/wananchi, kujenga chama katika mazingira ya ushindani, na mambo kama hayo yenye tija kwa chama na taifa kwa ujumla wake; Kazi za chama, ubunge n.k hizi sio kama kazi za Vodacom au Barclays, lakini kwa bahati mbaya, wengi hawalioni hili;
Tatizo kubwa tulilonalo Ni chuki na fitina zilizojaa mioyoni mwetu,Hatumkubali mtu hata kama kafanya vizuri kwa viwango Gani! Napenda tu nimsihi mchingiaji anayewaita watu wanavichwa vya nazi kuwa yeye ndiye mwenye kichwa hicho,na ameshindwa hata kulink hoja yenyewe,badala yake unaeneza siasa za chuki USIENDESHWE NA HISIA ZA CHAMA CHAKO BALI ANAGALI UTAIFA KWANZA.Wachangiaji wengine WA mada tajwa hapo juu wapo sahihi na makini sana.Uwe unasikiliza mambo kwa umakini kisha balance ukweli na hujuma.Pengine Ungeitwa leo hii mahakamani kutoa ushaidi wa Edo,ungetoroka nchi kabla ya ya ushahidi wako,maana tunauhakika huna hata chembe zaidi ya siasa za chuki binafsi.Tafadhali Usichangie hoja kama Konda wadalala ambeye yeye huacha kichwa nje na makalio hubaki ndani.
....... pia ni mchumi mahiri sana, nadhani next from Lipumba
Kila kitu kina relative in comparison..When you compare Mwigulu with the rest of youths ndani ya CCM ofcourse he is far better..Lakini compare Mwigulu with youths ndani ya CDM sijui kama hata atasimama na mmoja wapo tena hawa tunaowafahamu ambao wameweza ku-break the ice in 2010 lakini wapo many ambao kwa sasa hawajawa exposed..Then ujue ni jinsi gani CCM iko taabani kama the only hope and the best is Mwigulu ambaye analysis yake kwenye budget ilishindwa kutofautisha finacial analysis na economic analysis when it comes to budgeting. yet the guy is a hero; na ndiyo atakaye isaidia nchi ki-uchumi...
Duuh shuguli ipo tena pevu....Vijana wengi wa umri wa Mwigulu wanauelewa mkubwa kumzidi na wakipewa platform utashangaa jinsi atakavyo pwaya...Tuliona wakati ule wa Tido na mchakato majimboni tena wakati huo bado ice breaking ilikuwa haijafanyika na hesitation kwa abled youth ilikuwa kubwa...Leo itokee tena utashangaa kuona jinsi Tanzania ilivyo kuwa na potential youths ambao wamekuwa excluded na policies zenye kuleta monopolicies katika siasa...
Kazi yangu inanifanya niweze ku-interact na hao vijana so hii si hisia bali nawafahamu vijana wengi sana ambao they can do far better than what guy mwenye certificate ambao imekuwa graded na system mbaya ya elimu Tanzania ambapo hata wasioweza ku-articulate issues wanaweza pata hizo maksi na kuacha wengine ambao wako more deep in matters wakiwa na average marks.
Hatred yako kwa CCM ipo justified kabisa, na ni mwehu tu ndio atakuwa na mapenzi na CCM ya sasa bila ya kuikosoa; vinginevyo kuhusu Lowassa na CC, ni mapema kujadili hilo as a final analysis kwani ni mapema mno kujua iwapo Lowassa is a political asset au a political liability KWA CCM, tutajua hilo Mwanzoni mwa 2015, hasa pale market forces zitakapo kick in; So far ni direct interventions ndio zinaendelea to determine whether he is an asset or a liability;
Vinginevyo kwa sasa, kama nilivyokwisha sema elsewhere, uteuzi wa Kinana, Mangula ni jambo zuri kwa CCM ya sasa, lakini ni muhimu tujue tu kwamba katika mwili wa lijitu hili linaloitwa CCM, kilichotokea ni mabadiliko kidogo katika Kichwa lakini Shingo imebakia kuwa ni ile ile;
Nadhanu pia utakubaliana na mimi kwamba Shingo (sio kichwa) ndio hufanya kichwa kigeuke kulia, kushoto, kitazame juu, kitazame chini, kilalie mto, kisilalie mto, kiitikie ndio au hapana kwa kutikisa kichwa n.k; Kichwa hakifanyi haya kwa maamuzi yake bali kwa maamuzi na nguvu ya shingo;
Hii ndio changamoto kubwa inayokikabili Kichwa (Kinana, Mangula) kwani Shingo ni ile ile;
Mkuu si unajua hivyo vidonge ndio vime iko-cost sana CCM mpaka kupoteza ushindi kule Arumeru Mashariki kisha matokeo ya Igunga kutenguliwa.
So why they need such kind of person again?
Siku hizi CCM hawataki kutengeneza hoja bali wanataka kutoa ''vidonge''?
Hivi nikiwauliza wana ccm kama kweli lowasa ni gamba na hamumhofii kwanini kila siku hamuachi kumtaja? imefika mahali kila unapofanyika uchaguzi ama uteuzi wa viongozi huko ccm, mchaguliwa au mteule anaangaliwa kama ni mtu wa lowasa ama sio. Kwanini mnatumia nguvu nyingi sana kumsema vibaya lowasa lakini mkifika kwenye viko vyenu ambavyo na yeye anakuwa ni mjumbe hakuna anayethubutu kunyanyua mdomo wake kumsema?
Hii timu tunaomba Mungu idumu mpaka 2015 ,wote ni wachovu Kinana alisha jitoa ila tamaa imemrudisha,mchemba ni mzigo,huyu nabu wa zenji simjui ila amechoka,Nape Ubwawa tutaula na kuku,Migiro katoka bafuni kaja ogea chooni UN na CCM wapi na wapi,Mama Megnji,Mangula, na Khatibu nawapashikamoo M4C ndio mwendo hizi si zama zenu
Kwa kuongezea tu ni kama ifuatavyo kuhusu Katibu Mkuu mpya wa CCM:Abdulahman Kinana kama sijachanganya alishawahi kuwa waziri, mojawapo ya wizara ilikuwa ya ujenzi katika awamu za kabla ya Mkapa na Kikwete. Alitoswa kwa sababu ya kashfa ya ubadhilifu wa pesa za ujenzi mabilioni ya pesa yaliyeyuka na ndio unaona amebaki kuegemea upande wa chama kwani serikalini alishanuka.
Mkuu MCHAMBUZI nishabiki wa Makamba ndo maana juzi amesema anafaa hata kugombea uraisi as if sasa Ikulu ya TZ imekua sehemu ya kwenda kukuzia vijana.
Huyu Lowasa ni nani ktk nchi hii, kwa nini mna mwogopa kiasi hicho? Utakuta kila mleta mada Lowasa,lowasa,lowasa
Hatred yako kwa CCM ipo justified kabisa, na ni mwehu tu ndio atakuwa na mapenzi na CCM ya sasa bila ya kuikosoa; vinginevyo kuhusu Lowassa na CC, ni mapema kujadili hilo as a final analysis kwani ni mapema mno kujua iwapo Lowassa is a political asset au a political liability KWA CCM, tutajua hilo Mwanzoni mwa 2015, hasa pale market forces zitakapo kick in; So far ni direct interventions ndio zinaendelea to determine whether he is an asset or a liability;
Vinginevyo kwa sasa, kama nilivyokwisha sema elsewhere, uteuzi wa Kinana, Mangula ni jambo zuri kwa CCM ya sasa, lakini ni muhimu tujue tu kwamba katika mwili wa lijitu hili linaloitwa CCM, kilichotokea ni mabadiliko kidogo katika Kichwa lakini Shingo imebakia kuwa ni ile ile;
Nadhanu pia utakubaliana na mimi kwamba Shingo (sio kichwa) ndio hufanya kichwa kigeuke kulia, kushoto, kitazame juu, kitazame chini, kilalie mto, kisilalie mto, kiitikie ndio au hapana kwa kutikisa kichwa n.k; Kichwa hakifanyi haya kwa maamuzi yake bali kwa maamuzi na nguvu ya shingo;
Hii ndio changamoto kubwa inayokikabili Kichwa (Kinana, Mangula) kwani Shingo ni ile ile;
Nadhani sifa ya uongozi siku hizi CCM ni kuwa na uwezo wa KUVITUKANA VYAMA VYA UPINZANI. Hivi besides hilo la kuchukiwa na upinzani ni lipi lingine linalomfanya huyu bwana Mwigulu to fit in this very serious and vital position kwa mkabala wa chama chochote cha siasa? Ndio maana kila siku ccm wanabadilisha safu ya juu ya uongozi, simply because wanachagua watu wenye uwezo wa kutukana wapinzani. Job description ya Secretary general ni pana mno kupewa mtu ambaye hata uwezo wake wa kujenga hoja unatia shaka. Ukumbuke sio tu ata deal na wapinzani nje ya chama, bali anahitajika mtu mwenye uwezo wa kimkakati na kiushawishi kutuliza migongano ndani ya chama. Ninachoona mimi mpaka sasa CCM hawajui MCHAWI WAO NI NANI. Mchawi wa CCM si CHADEMA , bali ni umbu la kiuongozi na kimaadili ndani ya CCM yenyewe! In my opinion CCM kilipoteza siku nyingi sifa ya kuwa chama cha siasa. Why? kwanza chama chochote cha siasa kinakuwa na miiko, kwa CCM hapendwi mtu ila pochi yako.Ukiwa jamabazi, sawa, jangili sawa, gaidi sawa , so long huwapingi WAKUU WA CHAMA. Kifupi CCM ni mkusanyiko wa wachumia tumbo, ndio maana migogoro ndani ya ccm ni ya ULAJI ZAIDI KULIKO MASLAHI YA NCHI. Matajiri wamekikamata chama na ndio wanaoamua nani awe kiongozi kwa MASLAHI YAO BINAFSI. Pili wanachama wa ccm wenye NYADHIFA waliowengi ni MASHABIKI zaidi na si watu ambao wanauelewa wa hatima ya nchi yetu.There is NO difference between them and simba and yanga fans, who never knew why are they simba or yanga! If you ask them they will simply tell you "IT IS WITHIN THEIR BLOOD" na ccm ndio hivyohivyo.Hawajui wanasimamia nini nje ya maslahi yao ya kiuchumi, ndio maana Tanzania ndio nchi pekee mwanasiasa anaweza shinda kwa kuwa na mvuto wa SURA without sifa nyingine ya ziada. Tatizo ni wapiga kura wa ccm hawana VISION ya aina gani ya viongozi wanatuwekea. Hii ndio maana tunazalisha viongozi ambao wanajiita wazalendo lakini hawajui hata UHALALI WA TZ KUMILIKI ZIWA NYASA MPAKA WAENDE KUWAULIZA WAZEE WA KYELA! Hii ndio sababu ndani ya ccm kuna watu wana nguvu ambayo inawatisha hata wao ccm lakini ukichunguza hupati sababu ya MAANA ya hawa watu kuwa na nguvu hiyo! Hawana lugha ya ushawishi, no personal vision on how are they going to lead us out of these terrible and unnecessary problems! They simply say VIJANA WENGI HAWANA AJIRA HII NI JANGA KWA TAIFA, the next day watu wanawaona wanafaa kuwa MARAIS by just mentioning the problem without telling us hw are they going to solve it. UKiangalia changamoto zote hizi ndani ya taifa , halafu tunawapa dhamana watu wepesi ambao hawana walilolifanya zaidi ya kutembea na bendera ya Taifa wakati hawana utaifa zaidi ya kutukuza MTOA MLO WAO CCM, napata shaka kama tutafika tunakotaka kufika. Kuna watu wengi tu nchi hii ndani na nje ya ccm ambao angalau wangeweza kutuongoza vizuri, tatizo mfumo wa kiutawala ndani ya ccm hauwapi nafasi sababu SI WATU WA HEWALA! Ili uwe kiongozi ccm , shurti uwe mtu wa YES kwa mabwana wakubwa hata kama wanayosema hayana sense! Ndio maana ni TZ pekee unaweza sikia kiongozi anashinda kwenye uchaguzi kwa asilimia 100%, huu ni utani usio mithilika! Haiingii akilini kwamba watu almost 3000 hakuna hata mmoja anayepingana nao mawazo. Unategemea nini kwenye chama cha jinsi hiyo? Je , unahitaji kuwa na PhD kujua hiki ni chama cha kisanii na cha wanafiki?Kwa kweli khs kumu-undermine Mwigulu namna hiyo nafikiri unakosea sana, umechambua vizuri ila hapo umekosea sana kwa sababu huyo bwana anachukiwa na upinzani kwa ajili ya kuwapa vidonge vyao sio kila mtu anaona Mwigulu anaongea pumba, kawasome vizuri wapiga kura kaka.
kinana waziri wa ujenzi! hii siikumbuki kama imewahi kutoka hapa tanzania labda umechanganya taarifa kamanda,jipange
....... pia ni mchumi mahiri sana, nadhani next from Lipumba
Labda kama kulikuwa na Abdulahman Kinana mwingine, lakini jina hili na kashfa hii haijaondoka kichwani mwangu, yalisemwa mengi tu, si mbali sana kutoka kipindi cha Akina Mwingira kununua dege kubwa baada ya kutua tu halikuruka tena kitendo ambacho kilimpa rejection serikalini for good.