Hapa Lowassa hatoki...

Hapa Lowassa hatoki...

Huyu Lowasa ni nani ktk nchi hii, kwa nini mna mwogopa kiasi hicho? Utakuta kila mleta mada Lowasa,lowasa,lowasa
Lowassa ni Mmasai Fisadi ambaye kivuli cha nguvu zake za kisiasa ndio mhimili wa sasa wa CCM(Mkutano mkuu, NEC, Jumuiya), Bunge(Spika, Kamati), Dola(Cabinet, Army, Ikulu, TISS, PCCB)
 
Mchambuzi,
Unaibu Katibu Mkuu ndani ya CCM ni cheo kikubwa tu ambacho kiutendaji hakina nguvu labda Katibu Mkuu mwenyewe awe legelege. NKM ni mtu wa kusaini vocha tu na kusubiri vikao. Kwenye secretariet ya CCM watu wenye nguvu na ushawishi ni wawili tu, KatibuMkuu na Katibu wa Uenezi. Kikwete amepunguza nguvu nyingi za wanamtandao kwenye secretariet hii. Yumo Zakhia Meghji peke yake ambaye hata hivo amechoka sana.

Nashawishika kumuunga mkono JK kwa kuwa anajaribu kuirudisha CCM ilikokuwa mwaka 2005. Ngoja tusubiri CC itakayoteuliwa. Akimpendekeza Lowasa kuingia kwenye CC atakuwa ameharibu tena kama alivyomteua kwenye uwaziri mkuu mwaka ule.

Tetesi zilizopo ni kwamba Mangula alikataa pendekezo la JK la kutaka AshaRose Migiro kuwa Katibu Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi: Maelezo yako ni so objective and inspring! Yote tisa, kweli Mwigulu mjaa matusi ya nguoni amepwa cheo kikubwa hivyo ndani ya CCM? CCM inawawapelekea ujumbe gani vijana, watoto na wajukuu zetu kuhusu maadili kupitia Mwigulu? Nimechoka kabisa.

By the way may I ask you a couple of questions just out of curiosity. Kinana imekuwaje amerudi kwenye siasa wakati alishaaga? Je Mzee Man'gula hatachoshwa sana na hizi siasa za makundi ndani ya CCM ambazo Mwenyekiti ameshindwa kuzimaliza kwa takribani miaka saba baada ya kubwagwa Ukatibu Mkuu mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2005? Is this not sheer manipulation taking advantage of the humble and wise old man into a messy situation created by a sect of selfish and incompetent ruling clique? Can he really untangle the numerous complicated knots?
*Ukweli ni kwamba Mkwele amefanya maamuzi hayo baada ya kushauriwa na kushinikizwa na wazee wastaafu especially Mkapa.

*Why so?
Kikwete anaogopa sana kuona chama kikimfia mikononi mwake (which is so obvious kinakufa) hivyo kukwepa lawama mambo yatakapo haribika ni bora kuonyesha ''He took a concerning from experinced wise people prior''

*Kifupi inasemekana chaguo la kwanza la Kikwete nafasi ya Umakamu lilikuwa bado kwa Pius Msekwa, katibu mkuu ama Asharose Migiro vs Nape Nnauye.
 
Mchambuzi Typically Mtu anayeloose tamper ni Hatari sana kwenye siasa za ushindani!! Siona kama huyu Nchemba ananafsi katika siasa za ushindani!! Baadae watajagundua ni Hasara kama Walivyogundua kwa Mukama!! Poor My Part!!
 
Last edited by a moderator:
Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; ;

Inabidi uwe mbwatukaji mkuu. Uwe na zuri la kusema kuhusu CCM hata kama ni la kijinga...kwa mtazamo wangu, hii ndiyo character ambayo mwigulu,nape,wassira na kinana wanayo in common.

Kwani kuna lolote zuri lenye akili la kusema kuhusu CCM hata lihitaji mtu makini wa kulisemea??
 
Uteuzi wa Nchemba kuwa Naibu Katibu Mkuu umeniacha hoi; Sielewi CCM huwa wanatumia performance indicators gani kumpandisha mtu cheo; Naibu katibu Mkuu wa Chama ni mtu mzito sana na Nchemba ni mtu mwepesi sana kubeba uzito huu; Iwapo CCM ilitaka Kijana ashike nafasi hii na atoke miongoni mwa Vijana waliopo mle tayari, ni bora nafasi hii angepewa Nape au Makamba Junior;

Kama wakuu wa chama walikuwa serious waliposema wanaunda timu ya ushindi kuelekea 2015, nadhani likija suala la kura za vijana, timu hii inaelekea zaidi kuwa timu ya kifo cha chama, sio ushindi, kwani hoja mbovu mbovu za nchemba zitakimbiza vijana wengi zaidi kutoka CCM; CCM isidanganyike na umati mkubwa wa vijana huko vijijini kwenye mikutano yake tena nyakati za kazi kwani umati huu huwa ni mkubwa kwa sababu vijana hawana kazi; Kwahiyo mara nyingine huwa ni outing kwenda kusikiliza vituko vya wanasiasa makujwaani;

Kwa kweli inasikitisha kugundua kwamba utumbo aliokuwa anaufanya Nchemba ambao umekuwa unatufukuzia vijana wengi kutoka CCM, utumbo huu huu umempatia madaraka zaidi ndani ya Chama; Nchemba Naibu wa Kinana? Nani alifanya uamuzi huu? Kweli kazi ipo na ndio maana awali nilisema kwamba mabadiliko yaliyotokea kwenye mwili huu wa CCM ni ya KICHWA, lakini SHINGO ambayo ndio hugeuza kichwa kulia na kushoto imebakia kuwa ni ile ile;

Atakuwa chini ya wazee watamfunga speed Governor.
 
Mchambuzi,

Mara nyingi huwa naungana mkono na mawazo yako na hoja zako lakini huwa unanishangaza sana unapo sympathize na wapinzani kwamba walichakachuliwa kura za urais 2010 sijui huwa unaogopa kupoteza support ya watu hapa JF au la lakini kwenye hili ungekuwa realistic uwaambie tu rafiki zako kwamba mgombea wao Slaa alibwagwa. Kwa kufanya hivi utakuwa umewasaidia sana na pengine wataongeza nguvu kuliko hivi sasa ambapo unawatia moyo kwa kuashiria kuwepo kwa uchakachuzi 2010 halafu wana relax wakifikiria 2015 ndio wanaingia Ikulu. Sisi wote tunafahamu masanduku huwa transparent na kila mtu anaona kinachoingia na kura zinahesabiwa kila kituo na matokeo yanabandikwa.
 
Labda ataamua kukua na kutulia ili ajifunze mbinu bora za mapambano toka kwa Kinana na Mangula. Kama ataendelea na taarabu akifikiri ndio siasa za leo atakuwa anafanya kazi in isolation. Mzee Mangula si mtu mdogo wa kuchezewa...his characters are far beyond many in the party ndio maana aliweza kwenda kuwa mkulima baada ya siasa kuonekana hazina tena mashiko na yeye.
 
SIASA ZA MAKUNDI nadhani ndi chanzo cha kuifanya CCM isiwe imara na watu kufanya hicho chama kama FALME za KISULTAN
 
Kwa Kinana na Nape wamelamba Dume haya ni majembe,hawana upendeleo hata EL hawezi kuwashawishi kwa lolote lile liwalo,natabiri kifo cha CCM kitasababishwa na EL kwa tamaa yake na upendeleo uliopitiliza wamchunge sana huyu kifutu nyoka asiyekuwa na dawa.
 
Hivi nikiwauliza wana ccm kama kweli lowasa ni gamba na hamumhofii kwanini kila siku hamuachi kumtaja? imefika mahali kila unapofanyika uchaguzi ama uteuzi wa viongozi huko ccm, mchaguliwa au mteule anaangaliwa kama ni mtu wa lowasa ama sio. Kwanini mnatumia nguvu nyingi sana kumsema vibaya lowasa lakini mkifika kwenye viko vyenu ambavyo na yeye anakuwa ni mjumbe hakuna anayethubutu kunyanyua mdomo wake kumsema?
 
*Ukweli ni kwamba Mkwele amefanya maamuzi hayo baada ya kushauriwa na kushinikizwa na wazee wastaafu especially Mkapa.

*Why so?
Kikwete anaogopa sana kuona chama kikimfia mikononi mwake (which is so obvious kinakufa) hivyo kukwepa lawama mambo yatakapo haribika ni bora kuonyesha ''He took a concerning from experinced wise people prior''

*Kifupi inasemekana chaguo la kwanza la Kikwete nafasi ya Umakamu lilikuwa bado kwa Pius Msekwa, katibu mkuu ama Asharose Migiro vs Nape Nnauye.

in red????
 
Mchambuzi,

Mara nyingi huwa naungana mkono na mawazo yako na hoja zako lakini huwa unanishangaza sana unapo sympathize na wapinzani kwamba walichakachuliwa kura za urais 2010 sijui huwa unaogopa kupoteza support ya watu hapa JF au la lakini kwenye hili ungekuwa realistic uwaambie tu rafiki zako kwamba mgombea wao Slaa alibwagwa. Kwa kufanya hivi utakuwa umewasaidia sana na pengine wataongeza nguvu kuliko hivi sasa ambapo unawatia moyo kwa kuashiria kuwepo kwa uchakachuzi 2010 halafu wana relax wakifikiria 2015 ndio wanaingia Ikulu. Sisi wote tunafahamu masanduku huwa transparent na kila mtu anaona kinachoingia na kura zinahesabiwa kila kituo na matokeo yanabandikwa.

Baada ya uchaguzi huu wa Mwenyekiti wenu wa ccm na makamu wake tumeshuhudia vilio toka kwa wanaccm wenyewe wakilia kuchezewa rafu, kuibiwa kura zao, kuchakachuliwa matokeo ya kura zao.

Wameelezea kwamba makamu mwenyekiti bara alipata kura 50 za hapana na makamu mwenyekiti zanzibar alipata kura za hapana 48. Kama hiyo haitoshi tumeambiwa mwenyekiti aliponea chupuchupu kung'olewa kwani hadi nusu ya kura zilizokuwa zimehesabiwa kura za ndio na hapana zilikuwa zinakwenda sambamba hadi matson chizii alipotoka ndani ya chumba cha kuhesabia kura akaenda kusikojulikana na baadae akarudi na usalama wa taifa na green guard, wakawatoa nje wajumbe wote waliokuwa wanahesabu kura na wao wakafanya kazi hiyo.

Katika matukio mengine ya uchaguzi wa ndani ya ccm ambapo wanaccm wenyewe wamekuwa wakilalamika kuchakachuliwa ni dhahiri kwamba ccm ni mafundi wa kuchakachua na ukweli wa kura za uraisi kuchakachuliwa katika uchaguzi mkuu wa 2010 uko dhahiri, na hata majimboni katika nafasi za ubunge, udiwani, umeya na uenyekiti wa halmashauri mchezo ni huo huo.

Kwahiyo anachoandika Mchambuzi ni mawazo yake ambayo ukiyatazama kwa kina utaona yana ukweli kwa sehemu kubwa sana, na si suala la kuogopa ama kutafuta support ya wanaJF.
 
Last edited by a moderator:
Ccm wanachokifanya ni kuchange face tu lakini watu ni walewale fikra ni zilezile, za kikomunist mangula, kinana, meghji khatibu hawawezi kuleta mabadiliko wala kumzuia lowasa lawama anazopata lowasa sasa walizitengeza pamoja hawa tena ndo watampa nafasi nzuri ya kuchukua nchi, ccm hawana shida na lowassa wanachokifanya ni kuudanganya umma tu mwisho wa siku el anakuwa mgombea na rais, el ndo rais mnataka ndo hivyo hivyo tusitake ndo hivyohivyo ni muda tu tusubiri
 
Katika hili kikwete anastahili pongezi , Kinana c mchezo , si mtu wa kupelekwa pelekwa na ndio maana alikaa pembeni kama wadau wanavyosema hapo juu watakuwa wamemshawishi sana kukubali hiyo nafasi, so far mi naona vichwa vya ccm vinavyoweza kusaidia ni nape,kinana na mangula wengine hao mhhhh !!
 
Baada ya uchaguzi huu wa Mwenyekiti wenu wa ccm na makamu wake tumeshuhudia vilio toka kwa wanaccm wenyewe wakilia kuchezewa rafu, kuibiwa kura zao, kuchakachuliwa matokeo ya kura zao.

Wameelezea kwamba makamu mwenyekiti bara alipata kura 50 za hapana na makamu mwenyekiti zanzibar alipata kura za hapana 48. Kama hiyo haitoshi tumeambiwa mwenyekiti aliponea chupuchupu kung'olewa kwani hadi nusu ya kura zilizokuwa zimehesabiwa kura za ndio na hapana zilikuwa zinakwenda sambamba hadi matson chizii alipotoka ndani ya chumba cha kuhesabia kura akaenda kusikojulikana na baadae akarudi na usalama wa taifa na green guard, wakawatoa nje wajumbe wote waliokuwa wanahesabu kura na wao wakafanya kazi hiyo.

Katika matukio mengine ya uchaguzi wa ndani ya ccm ambapo wanaccm wenyewe wamekuwa wakilalamika kuchakachuliwa ni dhahiri kwamba ccm ni mafundi wa kuchakachua na ukweli wa kura za uraisi kuchakachuliwa katika uchaguzi mkuu wa 2010 uko dhahiri, na hata majimboni katika nafasi za ubunge, udiwani, umeya na uenyekiti wa halmashauri mchezo ni huo huo.

Kwahiyo anachoandika Mchambuzi ni mawazo yake ambayo ukiyatazama kwa kina utaona yana ukweli kwa sehemu kubwa sana, na si suala la kuogopa ama kutafuta support ya wanaJF.

Naomba nikusahihishe kidogo ndugu, kwanza mimi sio mwanachama wa CCM wala chama chochote na sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote huwa naongea mimi kama mimi. Na pia sikuwa nazungumzia uchaguzi wa CCM huu wa juzi.

Pili CCM ni chama na kina ngazi zake na utaratibu wake wa watu kupeleka malalamiko. Huyo mtu anayesema kura zimechakachuliwa na wenzake kama wangekuwa na hakika na wanachokisema na wanakitakia kheri chama chao wangeandika barua ya malalamiko kwa kujitambulisha au kama anonymous kupeleka kwenye chama chao. Hili halijafanyika na mimi sioni sababu ya kumuamini mtu anayeleta habari hapa wakati amejificha nyuma ya keayboard na wala hamna ushahidi wowote.
 
532316_204963082973221_351124274_n.jpg

yani hii rangi inanikumbusha viwavi
 
Hii timu tunaomba Mungu idumu mpaka 2015 ,wote ni wachovu Kinana alisha jitoa ila tamaa imemrudisha,mchemba ni mzigo,huyu nabu wa zenji simjui ila amechoka,Nape Ubwawa tutaula na kuku,Migiro katoka bafuni kaja ogea chooni UN na CCM wapi na wapi,Mama Megnji,Mangula, na Khatibu nawapashikamoo M4C ndio mwendo hizi si zama zenu
 
Back
Top Bottom