OPTIMUS TZ
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 391
- 65
Kwa mwendo huu Lowasa ajilie Mipesa yake JK kamwekea mchanga maji kwenye mafuta ikulu ndo basi tena.
yani hii rangi inanikumbusha viwavi
Ngoja tuangalie na ''mwenye njaa'' kwenye hii group ambaye ni rahisi kufisadiwa kutoka MonduliMchambuzi, I now hate this ccm of current times with all my heart so I am not biased on anything concerning the current ccm! But nevertheless, sioni jinsi lowassa atakavyokuwa na influence kwenye nec hii!
hii ni sekretarieti lakini, sio cc; tulichonacho so far ni wajumbe saba wa sekretarieti ambao automatically wanaingia kwenye cc; kwahiyo hawa ni wajumbe wa mwanzo wa cc i.e. Wajumbe saba kati ya jumla ya wajumbe ishirini, which makes it only one third of the total so far; ni muhimu tusubiri uteuzi wa wajumbe 13 waliobakia ili tujue ni kina nani, then ndio tuingie katika analysis husika;
Lowassa ni Mmasai Fisadi ambaye kivuli cha nguvu zake za kisiasa ndio mhimili wa sasa wa CCM(Mkutano mkuu, NEC, Jumuiya), Bunge(Spika, Kamati), Dola(Cabinet, Army, Ikulu, TISS, PCCB)
Kwa kweli khs kumu-undermine Mwigulu namna hiyo nafikiri unakosea sana, umechambua vizuri ila hapo umekosea sana kwa sababu huyo bwana anachukiwa na upinzani kwa ajili ya kuwapa vidonge vyao sio kila mtu anaona Mwigulu anaongea pumba, kawasome vizuri wapiga kura kaka.
Hii ni sekretarieti lakini, sio CC; tulichonacho so far ni wajumbe saba wa sekretarieti ambao automatically wanaingia kwenye CC; Kwahiyo hawa ni wajumbe wa mwanzo wa CC i.e. wajumbe saba kati ya jumla ya wajumbe ishirini, which makes it only one third of the total so far; Ni muhimu tusubiri uteuzi wa wajumbe 13 waliobakia ili tujue ni kina nani, then ndio tuingie katika analysis husika;
Mchambuzi,
Mara nyingi huwa naungana mkono na mawazo yako na hoja zako lakini huwa unanishangaza sana unapo sympathize na wapinzani kwamba walichakachuliwa kura za urais 2010 sijui huwa unaogopa kupoteza support ya watu hapa JF au la lakini kwenye hili ungekuwa realistic uwaambie tu rafiki zako kwamba mgombea wao Slaa alibwagwa. Kwa kufanya hivi utakuwa umewasaidia sana na pengine wataongeza nguvu kuliko hivi sasa ambapo unawatia moyo kwa kuashiria kuwepo kwa uchakachuzi 2010 halafu wana relax wakifikiria 2015 ndio wanaingia Ikulu. Sisi wote tunafahamu masanduku huwa transparent na kila mtu anaona kinachoingia na kura zinahesabiwa kila kituo na matokeo yanabandikwa.
Mimi ni mpiga kura wa tanzania, uanachama unakuja baaade, na nipo tayari kupigia kura mgombea mzuri wa chadema au wa ccm; kwa sasa sioni mgombea mzuri wa CCM bad, muda ukifika nitasema; ccm tunahitaji mtu mwenye kuweka ushindani mkali kwa slaa au lissu, hawa ni viongozi ambao nchi inahitaji sasahivi, ccm tutafute watu kama hawa;We uko kambi gani?
Mchambuzi: Maelezo yako ni so objective and inspring! Yote tisa, kweli Mwigulu mjaa matusi ya nguoni amepwa cheo kikubwa hivyo ndani ya CCM? CCM inawawapelekea ujumbe gani vijana, watoto na wajukuu zetu kuhusu maadili kupitia Mwigulu? Nimechoka kabisa.
By the way may I ask you a couple of questions just out of curiosity. Kinana imekuwaje amerudi kwenye siasa wakati alishaaga? Je Mzee Man'gula hatachoshwa sana na hizi siasa za makundi ndani ya CCM ambazo Mwenyekiti ameshindwa kuzimaliza kwa takribani miaka saba baada ya kubwagwa Ukatibu Mkuu mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2005? Is this not sheer manipulation taking advantage of the humble and wise old man into a messy situation created by a sect of selfish and incompetent ruling clique? Can he really untangle the numerous complicated knots?
What an opportunity for CDM!!
Dr. Shein, Dr. Migiro, Phil Mangula, AB Kinana, Zakia Meghji, M'med seif Khatib .
Hawa wote ni wachovu and too soft; just look at their faces! Old wine in a new bottle hawana tena strength of character, appetite wala ubavu wa kuhimili mikiki mikiki ya siasa za majukwaani za vijana wa M4C.
Kinana mara astaafu then 2 months on arudi centre stage, njaa au woga?! he is confused hajui kama arudi kismayu au Hargeisa au aendelee kuishi hapa nchini na afanye nini baada ya kutangaza kujiuzulu siasa.
Vuai Vuai: Ana tresses za uamsho ambao hawataki muungano and therefore CCM, Karume anasema wasikilizwe ili CCM ianguke Zanzibar na muungano ufe!
Nape nauye - Debe shinda haliachi kutika; hana jipya.
Nchemba; Jack of all trades, master of nothing except belching out HOT AIR!!
CDM go go go!
Sina wa kumuogopa CCM na sina haja ya kutafuta sympathy JF kwa kuegemea upande
Hii ni sekretarieti lakini, sio CC; tulichonacho so far ni wajumbe saba wa sekretarieti ambao automatically wanaingia kwenye CC; Kwahiyo hawa ni wajumbe wa mwanzo wa CC i.e. wajumbe saba kati ya jumla ya wajumbe ishirini, which makes it only one third of the total so far; Ni muhimu tusubiri uteuzi wa wajumbe 13 waliobakia ili tujue ni kina nani, then ndio tuingie katika analysis husika;
Samahani mkuu, nilipitiwa kidogo;Umenisoma vibaya mkuu, sijasema unatafuta sympathy nimesema una sympathize nao.
Mkuu Mchambuzi, baada ya hao saba kuna hawa waane ambao wako CC by nature
Wanabodi,
Kumekuwa kukitolewa madai mbali mbali kuwa M/Kiti wa CCM ni dhaifu na asieweza kufanya maamuzi magumu!. Baada ya Chama cha Mapinduzi, kukamilisha safu ya uongozi wake, wakiwemo viongozi wote wakuu na secretariat, sasa bado wajumbe 4 kukamilisha roho ya CCM ambayo ndio CC wajumbe 22, wakiwemo 4 by nature, 7 by virtue ya nafasi zao, 3 kwa huruma ya vyeo vyao.
Mpaka sasa wajumbe wa CC ambao tayari ni wajumbe by nature ni hawa wafuatao.
Wajumbe 5 by virtue ya positions zao ni
- M/Kiti -Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
- M/Kiti Bara-Philip Mangula
- M/Kiti Znz- Dr. Ali Mohamed Shein
- Katibu Mkuu-Abrahman Kinana
- Spika wa Bunge-Anna Makinda
- Spika wa BLW- Pande Ameir Kificho
- M/Vijana
- M/Kiti Wazazi
- M/kiti UWT
Wajumbe wa kuteuliwa direct kufuatia kuwemo kwenye sekretariet ni
Hawa wanasubiri huruma ya kuingizwa kutokana na nafasi zao ndani ya chama na serikali
- Katibu Organization-Mohamed Seif Khatib
- Katibu Mahusiano ya Kimataifa- Dr. Asha Rose Migiro
- Katibu Uchumi na Fedha-Zakhia Megji
- Katibu Publicity -Nape Mnauye
Wajumbe hawa 5 ni
- Waziri Mkuu -Mizengo Pinda
- Makamo wa Rais-Dr -Mohomed Gharib Bilali
- Makamo wa pili wa rais Zanzibar
- N/Katibu Mkuu Bara-Mwigulu Mchemba
- N/Katibu Mkuu ZnZ -Vuai Ali Vuai
Kama waliobaki ili kutimiza idadi hii ya wajumbe 22 wa CC ya CCM, inamaana M/Kiti wa CCM na NEC yake, wameshindwa kuwapata Wanne hawa miongoni mwao?!, kwa sababu za umakini katika kuwateua au ni muendelezo tuu wa udhaifu?.
Wamebaki watu 4 muhimu sana CCM ili kukamilisha safu hii. Jee unawafahamu ni kina nani ndani ya safu hiyo?,
Wawili lazima watoke Zanzibar na wawili watoke bara, jee wanne hawa ni wepi?.
Kwa upande wangu naanza na wale presidential probable wa bara na visiwani wakiongozwa na maswahiba wa nanii!.
Jee wewe unadhani wanne hawa ni kina nani?.
- Bernard Membe
- Shamsi Vua Nahodha
- Dr. Husein Mwinyi.
- January Makamba
- Samia Suluhu Hassan
- Prof. Mbarawa
- Prof. Mgimwa
- Stephen Wasira
- Edward Lowassa