Hapa Kazi Tu

Usisahau ujio wa Twiga Corporation kwa serikali kuwa mwanahisa kwa 16% na kuwa sehemu ya bodi.
Usiwasahau wakazi wa magomeni kota kurejeshwa kwenye nyumba za hadhi.

Usisahau kudhibiti mauaji ya ndovu.

Usisahau uamuzi wa kuijenda dodoma na mji wa serikali kwa kampuni za ndani. Kuna nyakati hata ghorofa ndogo lazima mchina apewe.
Mzee aliamua ikulu ijengwe na mikono wa Watanzania. Huu ulikuwa uamuzi wa kiume na wa kiouongozi.

Usisahau aumuzi wa kufunga shule kwa muda wakati wa Covid then shule na vyuo kufunguliwa pasi wanafunzi kupoteza mwaka. Kenya, Uganda, Rwanda mfumo wa masomo umepoteza miaka 2;

Mzee yule kama mwanadamu alikuwa na liabilities zake, ila kwa wingi wa assets zake, tu-celebrate urithi aliotuachia.
 
Watu WA namna Yako wanachukiwa sana ila we ngojea time will tell
 
Kwa mtu aliyezaliwa 80s ni sawa lkn kwa wahenga hajagusa hata robo ya Nyerere
 
Kuna stendi mpya mikoa mingi na masoko mapya,
  • Airport ya msalato , Dom
  • Airport ya Songea,
  • Uboreshwaji wa uwezo wa kitaaluma na kiteknolojia kwa hudduma za afya nchini kuanzia na MNH na Benjamin Mkapa , Dom n.k
  • Kufuta ada za shule za sekondari na kuboresha mfumo wa mikopo elimu ya juu.
 
Hii ndio shida ya kuamkia kiporo cha makande, utakuwa umevimbiwa wewe kapate double kick ukae sawa.
Mauaji ya wapinzan?
Kubambikizia watu kesi.
Kupandisha makato ya bodi ya mikopo
Kupora korosho za wakulima.
Kununua minfege bila kufuata sheria ya manunuzi?
Kuingilia mifuko ya hifadhi ya jamii
 
Pamoja na madhaifu yake ya kibinadamu, ambayo sisi sote tunayo, Magufuli alikuwa level nyingine kabisa ktk jitihada za kulitetea taifa letu na kulitumikia ili kupata maendeleo.
RIP JPM.
 
6years v/s 1year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…