Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

Mkuu sio lazima kusoma kama mtaani kumenoga...

Mtaani kwa kawaida, nipo kwny ajira mwaka wa 3 huu lakin sifikirii kuajiliwa tena tatzo nilitegemea fao la kujitoa nichukue mwakani maana mkataba umeisha ili nijiajiri lakin daaah hawa CCM walaaaniwe milelel
 
Tamko lishatoka ni 3.0 sasa mnataka tamko gani..wakati mlipokua vyuoni kazi ilikua kukatika viuno..someni vijana acheni kulialia huu utawala mwingine..
3.0 ni average ya grade ipi? B, A, C, ????????
 
Mkuu sio ajira tatizo ni mikopo
ahaaa mkopo si kipaumbele kwa wanafunzi wenyewe wananywea pombe kununua malaya na masabufa niliwa shuhudia mzazi akifulahia mwanaye kukosa mkopo kwani watoto wake wa kwanza waliopata huo mkopo walikuwa wakishinda bar na weng anawas wasi pengine washaathirika
 
Kwahiyo wanafunzi wote wanaopata mkopo wanatabia hizo?
 
Samahani kwa usumbufu wadau kwa hili la tamko la TCU mimi naona wale diploma wenye GPA ya 2.9 waombe tu vyuoni. Nadhani watapata nafasi maana vyuo vitakosa wanafunzi. Au wewe mdau unaonaje...
Endelea kuona tu
 
Jamani inategemeana na chuo ulichosoma diploma yko mfano chuo cha mipango ukipata 2.5 ikienda nacte inafk 3.0 hyo ni kwa mwka Jana na kuna watu nawajua wako first year now.... Lkn baadhi ya vyuo GPA hushuk mfano SUA, IFM nk
 
mi nawashangaa sana baada ya kupambana na maisha et unataka kuja chuo afu education kwa kutaman boom tu lkn ukifika chuo utataman umalize fasta mana utaona unapoteza mda,,nipo second year lkn nawataman third year wanaomaliza mwez huu tar 30 (UDSM)
 
Ila kama inawezekana warudishe tu ile ya 2.7 maana kwa walimu Wa diploma ya necta ni wachache sana wenye 3.0 above wengi 3.0 below
WAKAPITIE MFUMO WA RECOGNITION OF PRIOR LEARNING( RPL)
 
mi nawashangaa sana baada ya kupambana na maisha et unataka kuja chuo afu education kwa kutaman boom tu lkn ukifika chuo utataman umalize fasta mana utaona unapoteza mda,,nipo second year lkn nawataman third year wanaomaliza mwez huu tar 30 (UDSM)
Dogo piga shule
 
form iv ... shule si hamna. ndio ivo
kazi kweli wazee wa tamisemi haya 90,000+ wapo form 5 ivi ufaulu wa div 1-3 ulikuwa namba ipi tulinganishe mizani...
 
Back
Top Bottom