Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

Hapa GPA za 2.9 watachaguliwa tu

Ila kama inawezekana warudishe tu ile ya 2.7 maana kwa walimu Wa diploma ya necta ni wachache sana wenye 3.0 above wengi 3.0 below
Tatizo la hiyo diploma mnafanya mtihani mmoja tu kama wa form six na hakuna coursework hapo gpa lazima iwe low,,lkn wenzenu cbe n.k wanajichagulia gpa!! kwao nfkr hiyo 3.0 sio shida..
 
Tatizo la hiyo diploma mnafanya mtihani mmoja tu kama wa form six na hakuna coursework hapo gpa lazima iwe low,,lkn wenzenu cbe n.k wanajichagulia gpa!! kwao nfkr hiyo 3.0 sio shida..
ahaaa ni kwel kigogo TIA wana hofu ya mungu lakin nako madudu matupu unajua hili swala la gpa waliangalie upya kuna watu wamelipia tu cheti wamepata gpa ya 4 sasa serikali haioni kama inawaumiza watoto wa wanyonge....
 
Mbona hyo Tatu ni rahisi tu kupata maana mie mwaka wa Tatu semester ya 1 nilipata 2.7 na second semester nikapata 4.3 hayo mengine ni kuwaendekeza watu maana wa 2.8 nae atataka
 
Kwanza me naona TCU wangeacha ya 2.7 mfano havard na vyuo vyote vikuu wanatumia hiyo 2.7 kama kiwango cha chini sasa sisi tuna nini paka tuweke 3 vyuo vyote vitakosa watu kwa idadi ya miaka 4-5 iliyopita hiyo 2.7 tu mbinde watu supp kibao sasa3.O itakuwaje jamani
 
Back
Top Bottom