the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,573
- 2,940
.
Umelipia kifurushi cha juu ukakosa hizo channel unazozitaka?..
Au unadhani Dstv poa ndo package pekee iliyopo?
Umeleta kauzi kako ka kishamba kwa kukosa taarifa kuwa kuna package za juu za dstv zenye channel bora then unaanza kuleta jeuri..watu wengine bhana.kaa chonjo hujaitwa hapa acha kupayuka